RockSpider
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 6,859
- 2,757
Uzi huu bakora la nguvu kwa CCM na mamluki wao ...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama dhiki hii ni uzalendo , niko tayari kuukana uzalendo huu , MNADHANI MTATUBURUZA HADI LINI ? HIVI HII NI HALI YA KUJIVUNIA KWELI? MUOGOPENI MUNGU NYIE JAMAA BHANA ! UTANIMALIZA MIMI LAKINI WATAZUKA WENGINE
sasa kama lugha ya picha imekushinda huko darasani unafundishaje? si wanafunzi utakuwa unawaambia 1+1=1?Du! Hadi picha zinadanganya???
sasa kama lugha ya picha imekushinda huko darasani unafundishaje? si wanafunzi utakuwa unawaambia 1+1=1?
Uzi huu bakora la nguvu kwa CCM na mamluki wao ...
View attachment 196542huku mnaenda wapi? Kwa mganga?
Ccm nambari wani kwa..........
Mkuu, achana na hilo chizi Agogwe. Baada ya kuhitimu kidato cha nne likapewa kazi kule Lumumba linaona limefika. Hebu tazama jinsi lilivyojipinda sakafuni na laptops walizopewa na Nape Nnauye. Badala watetee maslahi yao kwanza wanakuja kumwaga pu.mba zao hapa. Hawa ni watu wasiojitambua. Kama wangekuwa na akili basi wangemuomba bosi wao Nape Nnauye awanunulie meza badala wanapojipinda chini namna hii.
View attachment 185605
hizi kelele zenu mwisho 2015 sisi wananchi ndio tutaichagua CCM chama kilichoijenga nchi hii
huyu gamba nae kasombwa kwenye lori
Ni kweli sisiemu ni nambari wani kwa ufisadi, wizi na uchakachuaji wa kura, laana na udhalimu
hakuna umasikin mbaya Kama umasikin wa akili