CCM nambari wani

MKUU
AGOGWE HERI YA MWAKA MPYA , HIVI ILE HADITHI YA ARI MPYA KASI MPYA NA NGUVU MPYA BADO IPO ? Au ULE UTAPELI WA MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA BADO MNAUTUMIA ?
 
Last edited by a moderator:

Mkuu BAK usiwe na shaka. Panya wote ni lazima watimuliwe kutoka kihengeni Oktoba mwaka huu. Hatuwezi kukubali kufa njaa huku panya wachache wakifaidi nafaka yote ya taifa.
View attachment 216066
 
Last edited by a moderator:

kwani hizo picha zimetoka kenya mkuu?yey kaleta upande huu wa shilingi na wewe lete upande mwingine wa shilingi kama upo poa
 
MKUU
AGOGWE HERI YA MWAKA MPYA , HIVI ILE HADITHI YA ARI MPYA KASI MPYA NA NGUVU MPYA BADO IPO ? Au ULE UTAPELI WA MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA BADO MNAUTUMIA ?

heri ya mwaka mpya na kwako pia Erythrocyte hivi maisha bora mnamaanisha kila mtu avae suti??je hizo barabara nzuri,shule na vituo vya afya hamvioni??? kama maisha bora ni mwananchi kupata ni huduma za msingi basi serikali ya chama cha mapinduzi inastahili pongezi, pia nawataarifu kuwa kuna kila dalili watanzania watakichagua chama cha mapinduzi sasa anzeni mapema mazoezi ya maandamano haramu au mtaingia msituni kuchimba dawa:A S wink:
 

Huo ndio umbulula wako na chama chako. Mnaiba hela halafu mnatuambia mmeboresha maisha kwa mtanzania. Kwa mtanzania mwenye akili timamu haewezi shabikia ujinga huo
 

picha HIZI CHACHE SANA ( KUMBUKA KWAMBA TUKIWEKA ZOTE UTAKIMBIA NCHI ) ZILIZOMO HUMU ZIMEJIELEZA , SINA LA KUONGEZA .
 
 
 
 
swahiba inaelekea wewe sio msomaji wa magazeti wala muangalia luninga. picha zoote zinazoonyesha maendeleo huzioni unakimbilia kuamini selected pictures from selected areas only? aliyetupia ndiye anayetakiwa kubalansisha taarifa yake. asiwe muegemea upande mmoja tu...hata kama yeye ni chadema basi na mazuri ayaonyeshe halafu awaachie watu waone wenyewe. na hizo picha kama unavyosema zinaweza kuwa zimepigwa kenya, au malawi au zambia au msumbiji halafu anakuja kutuhadaa watanzania.
kwani hizo picha zimetoka kenya mkuu?yey kaleta upande huu wa shilingi na wewe lete upande mwingine wa shilingi kama upo poa
 
sikushangai kwani hujui unenalo. mimi najiamini na ninaongea kile kilicho dhahiri sio hivi vyako unavyoongelea ambavyo havina mashiko hata chembe. ati ufisadi wa fedha za umma . laiti ungejua tafsiri halisi ya neno ufisadi usingezungumza hayo. ufisadi ni pamoja na kukaa bungeni na kupokea posho halafu mnafanya vurugu tu ili mradi muonekane kwenye luninga. shida ya maji unayoiongelea ni ipi labda ya kijijini kwenu manake asilimia 98 ya wananchi wamefikiwa na mitandao ya maji safi na salama isipokuwa kwa natural calamities ambazo hazizuiliki. Unakuwa muongo kusema kwamba nyumba zilizojengwa na NHC zimenyakuliwa na mafisadi, mimi ni kibarua wa national milling lakini nimeuziwa nyumba ya nmc na ninaishi mpaka leo magorofani utaniita na mimi fisadi? na tupo wengi pale fire, keko machungwa, tandika magorofani kukutajia kwa uchache tu. Usiwe mbumbumbu kudhani kuwa pesa za nssf zinatakiwa zikae tu, ili nssfa izalishe ziada ni lazima ikopeshe serikali ili serikali ifanye miradi ya maendeleo halafu irudishe na riba sasa ukisema sio za umma naona unaota ndoto ya ndaria. tpaul karibu kwenye kibanda changu kariakoo nikuonyeshe majarida ya uchumi ya tanzania na nchi jirani halafu ulinganishe kitakwimu na sio kutudanganya kwa picha za kulokota.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…