MPIGA ZEZE
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 2,539
- 2,296
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
taratibu mkuu naona amekugusa mtimani
Kuna mitoto ya kambo imejaa Lumumba ngoja ije ndo utaona itakavyoshupaa. Sina hakika kama hawa jamaa wako timamu kabisa!!!!!!!!!!!!!
Wala hajanigusa popote.Siyo mtu wa hivyo ndiyo maana nimempa ANGALIZO,ila kabla ya nilimgusa maeneo NYETI ndiyo maana akaja na HOJA za MATUSI/KUDHALILISHA.
Kwangu ukija na hoja za kipumbavu nitakujibu kama inavyotakiwa na ukija na hoja za kujenga nitakujibu ili kujenga,lakini wengi wetu tumesahau UTU,tunadhani pesa ndiyo kila kitu.
Tufike mahali tumuogope MUNGU ambaye anaumba na kuuisha na pia anachukua,hakuna mtu mwenye mbingu duniani,si Kikwete,wala CCM.
kwaiyoo!!!
umebuma weyeehivyo hivyo
umebuma weyee
usilaumu yoyote katika hili jilaumu wewe kwa kuindekeza CCM iendelee kukukamuaHivyo hivyo tu MWALLA,kwenye ukweli tuseme ukweli.TAIFA letu kuna wachache wananeemeka na wengine hawajui kesho yao.Wakati wengine wakienda MAJUU kutibiwa hata MAFUA kuna wengine wanakufa bila hata kumuona daktari sababu tu wamekosa pesa za kulipia hospitali au kutoa rushwa.
Leo unamwambia Mkulima eti nunua nyumba ya NSSF au NHC ,ulimaji wake wa jembe la mkono,na wengine hata ardhi yao wamenyang'anywa kwa kisingizio cha wawekezaji.
MWALLA turudi kuwa binadamu tuone maovu tuwasemee na kuwatetea wasiyo na sauti.Hivi elimu yetu tuliyoipata iwe ya kushabikia DHULUMA kweli!!!!!Ni haki ,hivi leo tukiwa tunaamini MUNGU tukifia leo tunaenda kujibu nini huko?
Hakuna mwenye MBINGU rafiki,si Kikwete,CCM,CDM,NCCR wala CUF,tumuogope Mungu na tujitahidi kutenda HAKI.
usilaumu yoyote katika hili jilaumu wewe kwa kuindekeza CCM iendelee kukukamua
View attachment 175977
huyu anae bakwa.... Ooops!! Anaekabwa mboni anafanana na chabruuuuu???
Ndiyo hapo MWALLA unapomfikiria mtu usiyemjua ukampa na mawazo yasiyo yake!Mie na CCM ni sawa na KUKU na NYOKA au PANYA na PAKA.Sipendi viongozi wezi na walevi wa madaraka haijalishi chama atokacho.
Kwangu napenda kuliita KOLEO ni KOLEO na si KIJIKO kikubwa.
Napenda viongozi WAZALENDO bila kujali chama atokacho,yupo tayari kupoteza uhai wake sababu ya kuipigania TAIFA lake,kiongozi ambaye TANZANIA ni kwanza mengine baadaye,kiongozi asiye na waoga wa kukabiliana na maovu na yule awezaye kutoa maamuzi magumu bila kujali kama MTOTO au FAMILIA yake ni muhusika mkuu.Na pia nampenda kiongozi ambaye anamuogopa MUNGU sana sana.
Hivyo basi hivyo ndivyo nilivyo.