CCM nambari wani

Watu wanaoishi kwa matukio.

Philosophy inasema simple minds siku zote huishi na kuongozwa na matukio kuamua jambo ktk maisha.

na hapa ndipo watanzania wengi wanapopigwa chenga na CCM. wako tayari kuuza kura zao kwa thamani ya gram 250 za chumvi au bakuli moja la pilau huku wakiumizwa kwa kipindi cha miaka 5. na baada ya miaka 5 wanakuwa wamesahau maisha magumu waliyopitia. ni nani hasa aliyeturoga?
 
Last edited by a moderator:
wito kwa vijana wapya mliovamia humu mwaka huu kwa ajili ya posho za uchaguzi , hebu pitieni uzi huu mjitathimini uoya .
 
eee bhana umeandika kwa uchungu mno ! hakika uzalendo wako ni wa kutukuka .
 
Last edited by a moderator:
Huu uzi nimeupenda sana! Yan kama mwalimu basi ningesema umeandaa zana nzuri za kuelezea somo la leo. Yan ulikua ukilinganish nn unasema na kwa picha nini una maanisha. Hongera sana umeeleweka
 
Huu uzi nimeupenda sana! Yan kama mwalimu basi ningesema umeandaa zana nzuri za kuelezea somo la leo. Yan ulikua ukilinganish nn unasema na kwa picha nini una maanisha. Hongera sana umeeleweka
tumeurudisha makusudi ili hawa vijana wapya waliokuja hapa kimkakati wauone uharamia wa ccm halafu walinganishe na hizo elfu 7 wanazolipwa kwa siku .
 
Sikumbuki vizuri Mkuu, jamaa alienda akakenuakenua kwa dakika chache kisha kuondoka bila ya kusema chochote kuhusu msaada kwa Waathirika wa mafuriko.
hivi wale wa mabwepande waliokuwa
kwenye mahema hadi yametoboka wameishia wapi ? maana tuliambiwa wamepewa mabati , sijui cement , Dah ! chama TWAWALA ni hatari sana .
 
Reactions: BAK
Ni Watunzi wazuri sana hawa ili utunzi wao uandikwe magazetini na kutangazwa kwenye TV na redioni kisha hakuna wanalolifanya.

hivi wale wa mabwepande waliokuwa
kwenye mahema hadi yametoboka wameishia wapi ? maana tuliambiwa wamepewa mabati , sijui cement , Dah ! chama TWAWALA ni hatari sana .
 
hivi wale wa mabwepande waliokuwa
kwenye mahema hadi yametoboka wameishia wapi ? maana tuliambiwa wamepewa mabati , sijui cement , Dah ! chama TWAWALA ni hatari sana .



Hivi Mv Bukoba ilitufunza,kuweka bajeti ya kufundisha waokoaji?
Hivi Meli ile iliyoua wazanzibar ikaja na ya pili tulikuwa na waokoaji au tulilipa wasouth waje kuokoa?

Hivi Ajali ya treni iliwekewa suluhu ya nini kifanyike?

Hivi ajali za mabasi ambazo zimelaza wazazi, walezi na ndg wengi makaburini na kuacha mayatima tulipewa mwongozo tufanyeje ili kuondoa ama kupunguza ajali?

Tunampango mkakati;
1. Kuhakikisha kila mmoja anakiwanda na eneo la uwekezaji,
2. Kuuza benki zetu na kuchua hisa?
3. Kuweka mkakati wa kusifu kupanda dola ya Marekani, tunakuja na jibu la kusema kuimarika kwa uchumi wao kwetu ni majanga hatia namna hadi uchumi wao ushuke ndipo shilingi!
 
yani katika mada nilizowahi kuziona hapa jf,hii ndo mada bora kuliko zote.Tangu jf ianze.Tena jambo kama hili linatakiwa liwafikie watanzania wote wajue.
 
Kama wewe ni mwelewa na umeuelewa vzr uzi kwanini ushindwe kujikomboa ktk utumwa wa ki akili,tubadilike watz!
 


Shule ya Msingi hatarini kuanguka katika kijiji cha Mkoko wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani.
 
Kama wananchi wanachukizwa na hali ya umaskini waliyonayo sasa ni wakati sasa wa kukiaga chama cha CCM!!
 
Hayo nayo ni mapungufu ya Ccm
 

Attachments

  • 1432352201307.jpg
    43 KB · Views: 97
Uchambuzi huu juu ya ccm laiti ungewafikia kinaga ubaga walengwa hakika wangefunguka. Lakini unawafikia. Wachache sana ambao hatuwezi kubadilisha chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…