CCM ni ukoo wa panya-babu mwizi, baba mwizi, watoto wezi, wajukuu wezi, vitukuu wezi, vilembwe wezi na vining'ina wezi! Ukoo huu wa panya walikuwa wanasafiri katika boti la muhogo, lakini kwa sababu ya uroho wao, walianza kulitafuna boti! Kilichofuata ni ukoo mzima wa kizazi cha panya kuzama na kuangamia.
CCM wameanza kuitafuna nchi tangu mwaka 1961 lakini ukomo wao wa kutafuna rasilimali za nchi ni mwaka 2015 kwani hakuna mtanzania mwenye hamu ya kuongozwa na chama cha kifisadi kama CCM ambacho kimeshindwa kuboresha maisha na ustawi wa watanzania. Wananchi wamechoka kubebeshwa ‘magunia ya misumari' ya bei ya juu ya umeme, mfumuko wa bei wa kutisha, elimu duni, maisha duni, ufisadi wa kutisha, EPA na matatizo lukuki yanayosababishwa na panya (CCM) hawa wasiokuwa na haya! Kizazi kizima cha CCM kinakaribia kuzama na kusahaulika kabisa katika ardhi ya Tanzania.
It's a matter of time before CCM dynasty comes to an end, and that's when magambas will apprehend the significance and power of the people. Desolately, CCM have been ignoring and looking down their noses at common Tanzanians for many years. Time has now come when citizens can no longer endure CCM's tyranny and corrupt rule. Everybody is tired of living like a slave in a land endowed with an assortment of natural wealth which only benefits the minority fisadis and a few elites in power while majority Tanzanians lead very miserable lives.
What comes around goes around. Let CCM go to hell for good because they have absolutely failed to uplift the living standards of millions of Tanzanians at the expense of a few fisadis whose gargantuan stomachs never fill up! And no one should be blamed for the hatred and grudge that many Tanzanians hold against CCM and their crooked government except fisadis themselves who, horrendously, decided to gnaw the cassava-made boat by which they were sailing!
The only weapon we have today, if we wish to change the history of our country that has been exploitative since independence, is UNITY AND SOLIDARITY. We must understand that our government and the ruling party will not easily accept to quit the state and leave all fruits they are enjoying currently. We must ensure our people join us in this struggle. I believe one day we shall all enjoy living in a country without discrimination, exploitation, suffering, humiliation and hypocrisy.
View attachment 258601
Na wakati nchi ikielekea kuzimu kuna wapuuzi fulani wapo kule Lumumba wameatamia laptops zao wakifanya uchochezi na kutunga uongo kuhusu "MAFANIKO YA CCM"! Hivi ni lini hawa panya wataacha kutumia rasilimali za nchi kwa manufaa yao binafsi na ya vibaraka wao?
View attachment 258603