CCM nambari wani

CCM nambari wani

mtu aliyewahi kushiriki ufisadi wa kutisha katika nchi hii ni kujidanganya kama anaweza kutatua matatizo kama hayo.

kwani siku zote alipokuwa anapiga madili kuiba pesa za umma hakujua hizo hela zinatakiwa kwenda hospitali kusaidia kina mama na wananchi kiujumla?

jamani fikirieni, someni, tafuteni habari na kamwe baada ya hapo hamtakuwa mnadanganyika kirahisi
 
CCM walishindwa miaka 50 baada ya uhuru.
Ukawa wataondoa ndani ya mwaka mmoja.
 
mikeimani na wew nae ni makapi tuu huna uwezo wakufikilia waambie magogoni wakanushe kauli ya lowassa kama wanawezaaa ! uctuletee pumba zako hapa mpelekee nape na kinana
 
Mmmmmmhhh!!! Lowasa kazaliwa lini na alikuwa wap? Anyway ni politics no game pekee ambayo mtu aweza kufa Mara mbili.....my life is CCM....CCM co baba wala mama yangu.....kwa kawaida wanaoshinda wakichonga ngenga wakati wenzao wanakula ruzuku ni sie vijana....!!!!!! Its only opinion....mawazo huru
 
mtu aliyewahi kushiriki ufisadi wa kutisha katika nchi hii ni kujidanganya kama anaweza kutatua matatizo kama hayo.

kwani siku zote alipokuwa anapiga madili kuiba pesa za umma hakujua hizo hela zinatakiwa kwenda hospitali kusaidia kina mama na wananchi kiujumla?

jamani fikirieni, someni, tafuteni habari na kamwe baada ya hapo hamtakuwa mnadanganyika kirahisi

umeongea ukweli mkuu.
 
Tukiacha unafiki, ulofa na upumbavu, CCM imetufikisha mahali pabaya sana kiasi cha kutotamani kusikia jina la chama hiki masikioni mwetu. Wananchi wanataka mabadiliko ima faima. Hawataki kuishi chini ya utumwa wa CCM. Kuiacha nchi chini ya utawala wa kikoloni wa CCM ni sawa kumuachia fisi bucha...kwa kuwa fisiCCM ni mlafi atakula hadi mzani wa kupimia nyama. Ukombozi makini, madhubuti, imara na endelevu utaletwa na UKAWA. CCM wameishajijotea sana rasilimali za taifa hili na kuiacha nchi ikiwa tupu. Chagua UKAWA kwa maendeleo yako.
 
mtu aliyewahi kushiriki ufisadi wa kutisha katika nchi hii ni kujidanganya kama anaweza kutatua matatizo kama hayo.

kwani siku zote alipokuwa anapiga madili kuiba pesa za umma hakujua hizo hela zinatakiwa kwenda hospitali kusaidia kina mama na wananchi kiujumla?

jamani fikirieni, someni, tafuteni habari na kamwe baada ya hapo hamtakuwa mnadanganyika kirahisi

mkuu, hii uliyoandika hapa ni ngonjera. hebu tutajie ufisadi aliofanya na utoe ushahidi. mramba na yona walifanya ufisadi na wamefungwa gereza la keko. hawa ndio mafisadi. ikiwe kuna kuna fisadi mwingine unayemfahamu aliyesalia uraiani, nawe unao ushahidi lakini umeukalia, basi wewe ni LOFA na MPUMBAVU wa kutupwa. vinginevyo ufunge hilo bakuli lako kubwa kama pakacha.
 
maCCM ni NDOROBO, MALOFA & MAPUMBAVU. hv majitu haya yanataka tutopee kwenye umasikini mpaka lini?
 
Tatizo c magufuli tatizo mfumowa ccm hatutaki selekali sikivu tunataka selekali inayo tenda tumeee chokaaaa
 
Mwaka huu ndiyo mwisho wa ulaghai leo hii hawana hoja wameshikilia richmond, kwa hiyo wanataka kutuaminisha kuwa Richmond ndiyo imesababisha maendeleo kuwa duni kwa zaidi ya miaka hamsini?
 
Mfumo wa CCM umeenda na Lowassa na Sumaye. Wote hawa ni mafisadi...wa Richmond, Epa, Radar na unyang'anyi wa viwanja vya wananchi huko Kilombero.
 
jamani kwenye maji vijijini na barabara Kikwete amejitahidi kwa wenzangu ambao wanaozurura mavijijini watakuwa wamenielewa.

Kijiji kipi kaka,maji ni janga la taifa,ktk uchumi water is among abundant resources,its not a scarce resource in rural tz accessing unsafe water is a big issue,lkn kwa tz hata maji machafu upatikanaji wake ni mtihani,watu wanatembea km 20 kutafuta maji machafu,asilimia 80% ya wagonjwa wanaoudhulia hosp wanaugua magonjwa yanayotokana na kutumia maji machafu
 
Back
Top Bottom