uzi umetengenezwa kwa hoja zaidi ,utaifa kwanza,ritz,bakorakamo,simiyu yetu,faiza foxy njooni huku mna kesi ya kujibu.
Shika adabu yako..kama hukufunzwa na mama yako upumbavu wako peleka huko.
Wewe ni kiazi kweli, ccm tangu kipindi cha awamu ya kwanza ya mwalimu nyerere kupitia sera ya chama chetu wote na ninyi mpaka sasa kwenye awamu ya nne imekuwa inasomesha vijana wetu bure mpaka chuo kikuu kwa kuwapatia mikopo bure. CCM isipokuwapo mtaikumbuka kwa machozi mengi.amekuwa nguzo mama kwenu
Kupitia sera nzuri za ccm imewezesha maji safi na salama kufika vijijini mwetu kwa uchimbaji wa visima kila kata na wananchi wengi wa maeneo hayo wamekuwa mashahidi kuhusu hili, mshana jr nenda vijiji vingi wakazi wengi wanaipenda sana ccm na wanaipa kura kwenye kila uchaguzi kwasababu wanaona matunda ya ccm mfano amani,barabara za lami,sekondari kwa kila kata,umeme umewafikia kila kijiji, zahanati kwa kila kata n.k na mheshimiwa kikwete ametoa maagizo kwa kila halmashauri zote nchini kuwa kila shule ya kata ya sekondari ijenge MAABARA, niambie leo huyu TPAUL anayeleta mada kama hizi hapa jf anakitendea ccm haki na yeye ni mnufaikaji wa ccm kupatiwa elimu bure. Nenda mikoani kama barabara ya ARUSHA mpaka SINGIDA ni lami tupu,nenda mtwara,lindi, simiyu,kilimanjaro kuna lami mpaka kwenye majumba ya watu mfano kwa MBOWE mpaka akampongeza RAIS KIKWETE NA CCM YETU. JE CCM TUWALAMBE WAPI WANANCHI MTUPONGEZE

View attachment 176465
maelezo yako yanasadifu uhalisia huu?
hapa sio tanzania ninayoifahamu,hakuna umaskini kama huo unapotosha umma.pimbi wewe
View attachment 176468
Hawa kweli watakiona chuo kikuu?
View attachment 176465
Maelezo yako yanasadifu uhalisia huu?