tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
- Thread starter
-
- #121
Kupitia sera nzuri za ccm imewezesha maji safi na salama kufika vijijini mwetu kwa uchimbaji wa visima kila kata na wananchi wengi wa maeneo hayo wamekuwa mashahidi kuhusu hili, mshana jr nenda vijiji vingi wakazi wengi wanaipenda sana ccm na wanaipa kura kwenye kila uchaguzi kwasababu wanaona matunda ya ccm mfano amani,barabara za lami,sekondari kwa kila kata,umeme umewafikia kila kijiji, zahanati kwa kila kata n.k na mheshimiwa kikwete ametoa maagizo kwa kila halmashauri zote nchini kuwa kila shule ya kata ya sekondari ijenge MAABARA, niambie leo huyu TPAUL anayeleta mada kama hizi hapa jf anakitendea ccm haki na yeye ni mnufaikaji wa ccm kupatiwa elimu bure. Nenda mikoani kama barabara ya ARUSHA mpaka SINGIDA ni lami tupu,nenda mtwara,lindi, simiyu,kilimanjaro kuna lami mpaka kwenye majumba ya watu mfano kwa MBOWE mpaka akampongeza RAIS KIKWETE NA CCM YETU. JE CCM TUWALAMBE WAPI WANANCHI MTUPONGEZE
Ni kweli kabisa CCM imejenga shule kila kijiji na imejenga maabara ya shule za kata na ufaulu umeongezeka. Asiye na macho haambiwi tazama, ona maendeleo tele ya CCM. Wananchi wote tuseme CCM oyeeeeee!!!!