nakushukuru sana kwa kumwelelewa tpaul .
Mkuu hivi magamba wana kampuni ya malori? Mbona mikutano yao wanasomba watu na malori? Kwanini,?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nakushukuru sana kwa kumwelelewa tpaul .
Mkuu hivi magamba wana kampuni ya malori? Mbona mikutano yao wanasomba watu na malori? Kwanini,?
Mkuu hivi magamba wana kampuni ya malori? Mbona mikutano yao wanasomba watu na malori? Kwanini,?
Unakumbuka CUF walikuwa wakipigwa mabomu na POLICCM wakikutwa wamepakiwa kwenye malori? Lakini magamba wao wakipanda malori, tena yale ya kupakia ng'ombe husindikizwa, na hata kupigiwa ving'ora na POLICCM. Uwanja wa kisiasa kati ya migamba na wapinzani haupo sawa. Mwaka ujao itakuwa zamu yao ya kuchapwa virungu na kutupiwa mabomu ya kivita na polisi.
viongozi wa lumumba V8 , wa mikoa na wilaya COASTER , kata , vijiji , buku 7 fc na wale kaja...aamb...a nani wote wanaopewa wali kitumbo na maharage na kuvisha kofia na fulana , zile ambazo ukifua mara moja kola inafika tumboni na RANGI YOTE INAISHA , NI KWENYE MAFUSO .
nimerudia tena kusoma uzi huu , kiukweli sijaona hata chembe ya huruma waliyonayo magamba , MUNGU TUNAKUOMBA USIKIE KILIO CHETU .
[h=3]Reasons youll love it[/h]The top benefits of Elements 12. See why its the #1 selling photo editor for consumers.
[h=3]Easy steps to sensational photos [/h]Hone your skills with help from over two dozen Elements instructional videos on Adobe TV.

ADOBE HPTOSHOP'; TUTORIAL
Adobe Photoshop Elements 12
Overview Features Tech specs Reviews FAQ Showcase Buying guide
Empower your creative vision with photo editing options for every user level, and turn ordinary snapshots into something spectacular. Easily organize, edit, and create brilliant photos to share via print, the web, Facebook, and more. And now, take your Elements photos with you, wherever you go, on your smartphone or tablet.[SUP]*[/SUP]
[TABLE="class: LayoutMaxH"]
[TR]
[TD="class: PanelFillDark"]Highlights
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
![]()
See what's new
See how Adobe® Photoshop® Elements 12 makes it easy to transform snapshots into something spectacular.
Reasons you'll love it
The top benefits of Elements 12. See why it's the #1 selling photo editor for consumers.†
Easy steps to sensational photos
Hone your skills with help from over two dozen Elements instructional videos on Adobe TV.
[TABLE="class: LayoutMaxH"]
[TR]
[TD="class: PanelFillDark"]News
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Special loyalty pricing: Upgrade now for 20% off the full version price
Learn more about Elements Mobile albums
Easily view, relive, and share your Elements photos on your smartphone and tablet.
[TABLE="class: LayoutMaxH"]
[TR]
[TD="class: PanelFillDark"]Partners and offers
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Do more with your photos
Take advantage of special offers and integrated online options from Adobe partners.
[TABLE="class: LayoutMaxH"]
[TR]
[TD="class: PanelFillDark"]Facebook updates
[/TD]
[TD="class: LayoutCellSides LayoutSmallCellVSides RouterButton RouterFacebook"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TH="class: TableCell TableNumber shortDateFormat"]08/11/2014[/TH]
[TH="class: TableCell TableNumber shortDateFormat"]08/08/2014[/TH]
[TH="class: TableCell TableNumber shortDateFormat"]08/07/2014[/TH]
[TABLE="class: LayoutMaxH"]
[TR]
[TD="class: PanelFillDark"]Showcase
[/TD]
[TD="class: LayoutCellSides LayoutSmallCellVSides RouterButton RouterMore"]More[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Customer gallery
Millions of people around the world are using Photoshop Elements to edit photos, create lasting keepsakes, and delight friends and family.
[TABLE="class: LayoutMaxH"]
[TR]
[TD="class: PanelFillDark"]Learning
[/TD]
[TD="class: LayoutCellSides LayoutSmallCellVSides RouterButton RouterMore"]More[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: LayoutMaxH"]
[TR]
[TD="class: PanelFillDark"]Resources
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
- Photoshop Elements on lynda.com
- Photoshop Elements techniques
- Scrapper's guide
- Photoshop.com
- Photoshop Elements on YouTube
[TABLE="class: LayoutMaxH"]
[TR]
[TD="class: PanelFillDark"]Help
[/TD]
[TD="class: LayoutCellSides LayoutSmallCellVSides RouterButton RouterMore"]More[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: LayoutMaxH"]
[TR]
[TD="class: PanelFillDark"]Page tools
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Bookmark
* Internet connection required. This product may integrate with or allow access to certain Adobe or third-party hosted online services ("Online Services"). Online Services are available only to users 13 and older and require agreement to additional terms of use and Adobe's online privacy policy. Online Services are not available in all countries or languages, may require user registration, and may be discontinued or modified in whole or in part without notice. Additional fees or subscription charges may apply. With Adobe Revel™, not all Elements file formats are supported. During the first 30 days, users are granted unlimited uploads. After that, they will be able to upload up to 50 photos or videos each month for free. Exceeding that limit requires the purchase of a paid subscription, priced at US$5.99 per month or US$59.99 per year. For local pricing, visit your local Apple iTunes app store. For more details on pricing plans, visit Adobe Revel - Plans.
† Source: The NPD Group/Retail Tracking Service (April 2002 to February 2013) based on units sold (U.S. only).
View attachment 177129View attachment 177128View attachment 177129
???????????????????????????????????????????:thinking::thinking:
Kwahiyo wewe unanilazimisha mawazo yako wewe yawe yangu,serikali hii imevurunda sehemu nyingi sana ndo maana mimi nikasema kwenye hizo sekta amejitahidi sana kutokana na ushahidi wa macho yangu.Kwenye hizo sekta alizojitahidi angeweza kufanya kama alivyovurunda kwenye sekta nyingine japo ni kodi zetu.Unajua ndio maana mie huwa natoa maneno makali.Hivi wewe IQ yako inaweza ikaizidi ya kuku kweli? huivi nani alikuambia rais wa nchi anapimwa uwezo wake kwa kujenga barabara na kupeleka maji vijijini?.unajua kuwa kujenga barabara na kupeleka maji kwa raia wanaolipa kodi kubwa kupelekewa hivyo vitu ulivyovitaja ni haki yao? Wewe Mtanzania utaamka na kuelimika lini? wewe mtu maji na barabara ni haki yako unalipa kodi wewe aaah.Siku nyingine usiongee ujinga huu watu wakisikia watakucheka .kuna mambo rais akifanya nasifiwa na kuonekana kuwa sio rais wa kawaida na kingizwa kwenye orodha ya marais makini.Angalau huyu wetu angeweza kuokoa fedha,kwa kuminya mianya ya ufisadi,tunavyoibiwa madini,mikataba mibovu,kukuza pato lataifa lakini sio hivyo ulivyovitaja.ndio maana kuna bunge labajeti kupanga matumizi ya kodi zetu.na nyingi zinaelekezwa huko kwenye miundombinu na huduma za jamii.barabara,maji,elimu,afya,miundombinu mingine ni kazi ya kila siku yaserikali yoyote.Wewe IQ ndogo baba yako akikusomesha,akikununulia mavazi,chakula na malazi sio fadhira ni jukumu lake.ohooo!
nakipenda chama cha Mapinduzi:cheer2:
mpaka sasa magamba wamekimbia uzi. Pamoja na kuwaita waje huku, wanakuja wanachungulia na kusepa. Enyi buku 7 wa lumumba hebu jitokezeni basi mtuambie 'maisha bora kwa kila mtanzania' yako wapi!!! Kwanini hasa mnakimbia nyuzi zenye hoja kama huu? Tangu mgawiwe laptop na nape mbona hamsomeki?
Matutusa wa ccm wataiangamiza nchi hii ikiwa tutashindwa kuwang'olea mbali mwaka 2015. Tuanze kuwatia adabu kuanzia uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu, 2015. Ee mungu tunaomba utusikie, utuondolee mbali huyu ibilisi huyu (ccm) asiendelee kuwatesa watanzania....pepo tokaaaaaaaaa!!! Nalikataa pepo la ccm katika jina la yesu. Amina.