CCM nambari wani

CCM nambari wani

swahiba inaelekea wewe sio msomaji wa magazeti wala muangalia luninga. picha zoote zinazoonyesha maendeleo huzioni unakimbilia kuamini selected pictures from selected areas only? aliyetupia ndiye anayetakiwa kubalansisha taarifa yake. asiwe muegemea upande mmoja tu...hata kama yeye ni chadema basi na mazuri ayaonyeshe halafu awaachie watu waone wenyewe. na hizo picha kama unavyosema zinaweza kuwa zimepigwa kenya, au malawi au zambia au msumbiji halafu anakuja kutuhadaa watanzania.

Nawe nenda kapige picha za kule Osterbay uje utuonyeshe namna maisha ya mtanzania yalivyo mazuri. Mbona povu linakutoka ovyo kihivyo? Bila shaka mgao wa ESCROW utakuwa umekutembelea sio bure!
 
Ukiona hivyo ujue dawa imeyaingia ma escrow vizuri
 
tpaul nanyi mnakuja na ngonjera kuwa mtawapatia wananchi maisha bora kumbe ni tamaa ya kushika dola tu. hakuna namna mtaongeza vyanzo vya mapato kuweza kuwapatia watanzania wote maisha bora. picha hizi kama ungezichukua kwa mlinganisho.mfano nyumba mbovu na nyumba bora za kisasa zinazojengwa nchini kote na nssf, na nhc, shida ya maji na juhudi za kutandaza mabomba na miundombinu mingine ya maji, zahanati ya makuti na zahanati bora na zenye vifaa zilizojengwa kwa kipindi chetu hapo ungeeleweka. lakini umefanya makusudi na kujikampenia kwa kuwadanganya watanzania kuwa hali hiyo ndio uhalisia wao kumbe wao wanaona tofauti. wanasafiri kwa barabara za lami, wanalima na wanapata pembejeo kwa wakati, wanauza mazao yao kwenye vyama vyao vya ushirika wanapata umeme wa rea na tanesco, wanapata maji kupitia mamlaka zao za maji wanawapeleka watoto wao wote shule tena sasa hivi zenye maabara na mengineyo mengi tu. wanatumia vipato vyao kujijengea nyumba bora na kujiwekea umeme.hayo uliyotupia ni kaupande kamoja tu ka shilingi tupia upande mmoja wa shilingi na ulinganishe na upande wa pili wa shilingi..usiwahadae watanzania

Kwanza hebu jiulize hizo nyumba za NSSF na NHC,watu wa kawaida twaweza kuzi-afford?Kama mfanyakazi mwenye minimuma salary hawezi kuafford je huyu mkulima?
Kwa nini mnapenda kujidanganya?Maana klabla hujanidanganya utakuwa haujajitendea haki,maana umejidanganya mwenyewe!!!!!!!!

Ili Ushinde mbio za vijiti inabidi mpange TEAM bora,na kuponkezana VIJITI ni sahihi maana ndiyo USHINDI wenyewe.Wenzetu tuliowachagua yaani CCM mmeshindwa kukimbia mbiofupi fupi ilikutuwezesha kushinda,basi vijiti msivishike mpaka mwisho waachieni na wenzenu washike.

Na hakuna chama cha siasa kisicho taka kushika dola.ndiyo maana hata CCM wanadiriki hata kuhonga na kuiba kura ili mradi tu washike madaraka.

Pole hata wapinzani ni watanzania wanahaki ya kuchaguliwa na kushika madaraka,ni wakati wao pi tuwape VIJITI waendelee kulikimbiza kurudumula Maendeleo yetu.

Pole na heri ya mwaka mpya.
 
Mtu yeyeto anaye shabikia ccm ni janga la taifa
 
Tatizo kubwa tulilonalo leo,watanzania wengi tumekosa uungwana,ubinadamu,huruma,heshima na uwajibikaji.Tunadhani pesa ndiyo kila kitu tunashindwa kuelewa kuna watu hawana uwezo hata wa kupeleka watoto wao shule,vipi leo unamwambia anunue nyumba yenye thamani ya mamilioni?

Hivi huu siyo udhalilishaji?Kwa sababu kuna wachache wenye uwezo wa kuiba na kunyanyasa wasio na uwezo kipesa?
 
attachment.php
TANU NAMBARI WANI
 
vijiti vinapokezana kupitia sanduku la kura..wewe fanya kampeni zako lakini usiwahadae wananchi kwa picha za kalubandika halafu wao wataamua kupitia kura ya siri. sasa hili la uchakachuaji na kuiba kura kama lipo basi utakuwa unalifahamu na ni mzoefu nalo hilo silisemei kwa kuwa najua halipo kwani kila chama kinaweka wakala. Lakini kuhusu nyumba za nhc na nssf nimekwambia mimi na kipato changu duni namiliki nyumba nzuri tu...kupanga ni kuchagua..nilichagua kuwekeza ninunue nyumba ya nhc na kweli nimenunua.wewe kama umepanga kukalia viti virefu utavuna mkojo wa firauni tu.
Kwanza hebu jiulize hizo nyumba za NSSF na NHC,watu wa kawaida twaweza kuzi-afford?Kama mfanyakazi mwenye minimuma salary hawezi kuafford je huyu mkulima?
Kwa nini mnapenda kujidanganya?Maana klabla hujanidanganya utakuwa haujajitendea haki,maana umejidanganya mwenyewe!!!!!!!!

Ili Ushinde mbio za vijiti inabidi mpange TEAM bora,na kuponkezana VIJITI ni sahihi maana ndiyo USHINDI wenyewe.Wenzetu tuliowachagua yaani CCM mmeshindwa kukimbia mbiofupi fupi ilikutuwezesha kushinda,basi vijiti msivishike mpaka mwisho waachieni na wenzenu washike.

Na hakuna chama cha siasa kisicho taka kushika dola.ndiyo maana hata CCM wanadiriki hata kuhonga na kuiba kura ili mradi tu washike madaraka.

Pole hata wapinzani ni watanzania wanahaki ya kuchaguliwa na kushika madaraka,ni wakati wao pi tuwape VIJITI waendelee kulikimbiza kurudumula Maendeleo yetu.

Pole na heri ya mwaka mpya.
 
kama ulikuwa dalali mgawaji wa pesa za escrow na uliniorodhesha basi nitakuwa nimepata lakini kama sio hivyo basi povu linakutoka wewe na sio mimi
Nawe nenda kapige picha za kule Osterbay uje utuonyeshe namna maisha ya mtanzania yalivyo mazuri. Mbona povu linakutoka ovyo kihivyo? Bila shaka mgao wa ESCROW utakuwa umekutembelea sio bure!
 
mukulupapaa angalia usiwe mutoitotoo manake unaongea kama mwanafunzi wangu wa darasa la pili
kwani hizo picha zimetoka kenya mkuu?yey kaleta upande huu wa shilingi na wewe lete upande mwingine wa shilingi kama upo poa
 
ccm waliimba nambari one miaka ya tisini sio Leo
watu wamechoka maisha magumu mnawapa wali na tshirt.
 
vijiti vinapokezana kupitia sanduku la kura..wewe fanya kampeni zako lakini usiwahadae wananchi kwa picha za kalubandika halafu wao wataamua kupitia kura ya siri. sasa hili la uchakachuaji na kuiba kura kama lipo basi utakuwa unalifahamu na ni mzoefu nalo hilo silisemei kwa kuwa najua halipo kwani kila chama kinaweka wakala. Lakini kuhusu nyumba za nhc na nssf nimekwambia mimi na kipato changu duni namiliki nyumba nzuri tu...kupanga ni kuchagua..nilichagua kuwekeza ninunue nyumba ya nhc na kweli nimenunua.wewe kama umepanga kukalia viti virefu utavuna mkojo wa firauni tu.

Usipende kutukana watu usiowajua.Mkojo wa FIRAUNI waujua wewe na ndiyo maana umeusema.Sijui MKOJO wa FIRAUNI,hivyo heshimu watu wengine wenye tofauti ya mawazo yako.Ninamsemea mtu asiye na uwezo hata wa kununua baiskeli iwe nyumba ya mamilioni?Huyu mkulima wa jembe la mkono anakaa kwenye viti virefu na kuvuna huo mkojo wa firauni?

Acha ushamba na upumbavu.Kama umeneemeka sababu ya system iliyopo usitukane wengine.
 
kama ulikuwa dalali mgawaji wa pesa za escrow na uliniorodhesha basi nitakuwa nimepata lakini kama sio hivyo basi povu linakutoka wewe na sio mimi

Hivi wee jamaa unatetea nini hapa , huoni aibu ?
 
Zama za CCM kuwanunua wapiga kura kwa sahani za wali zimeishapita....sasa hivi wananchi wanataka maendeleo. Kama CCM waliwaahidi wananchi MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA badala yake wamewaletea maisha magumu, hivi mwezi Oktoba mtakuja na hoja gani tena laiza? Sijawahi kuona watu wenye akili za kitutusa na wasiokuwa na aibu kama maCCM.

uchawi wa ccm2.jpg

Tazama AMBULANCE zinazotumika kubebea wagonjwa huku hii mifisadi ikitafuna fedha za umma bila huruma!!!!!!!!

ambulance ya CCM.jpg

ambulance ya CCM2.jpg

Hivi nyie FaizaFoxy, MwanaDiwani, MSALANI, T 2015 CCM East African Eagle, Ritz, mjepo, laki si pesa, Agogwe, gsu, Simiyu Yetu, thatha, et al, mnaoshabikia WEZI mmerogwa au mmesukurishwa hadi mkawa misukule ya Lumumba?
 
Last edited by a moderator:
Zama za CCM kuwanunua wapiga kura kwa sahani za wali zimeishapita....sasa hivi wananchi wanataka maendeleo. Kama CCM waliwaahidi wananchi MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA badala yake wamewaletea maisha magumu, hivi mwezi Oktoba mtakuja na hoja gani tena laiza? Sijawahi kuona watu wenye akili za kitutusa na wasiokuwa na aibu kama maCCM.

View attachment 216812

Tazama AMBULANCE zinazotumika kubebea wagonjwa huku hii mifisadi ikitafuna fedha za umma bila huruma!!!!!!!!

View attachment 216810

View attachment 216811

Siku fahamu zako zikikurudia, utaujua ukweli, ila kwa sasa unapiga porojo tu!
 
Zama za CCM kuwanunua wapiga kura kwa sahani za wali zimeishapita....sasa hivi wananchi wanataka maendeleo. Kama CCM waliwaahidi wananchi MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA badala yake wamewaletea maisha magumu, hivi mwezi Oktoba mtakuja na hoja gani tena laiza? Sijawahi kuona watu wenye akili za kitutusa na wasiokuwa na aibu kama maCCM.

View attachment 216812

Tazama AMBULANCE zinazotumika kubebea wagonjwa huku hii mifisadi ikitafuna fedha za umma bila huruma!!!!!!!!

View attachment 216810

View attachment 216811

Hivi nyie FaizaFoxy, MwanaDiwani, MSALANI, T 2015 CCM East African Eagle, Ritz, mjepo, laki si pesa, Agogwe, gsu, Simiyu Yetu, thatha, et al, mnaoshabikia WEZI mmerogwa au mmesukurishwa hadi mkawa misukule ya Lumumba?
Nao wanafaidika na makombo yanayodondoka kutoka kwenye meza za mafisadi.
 
Last edited by a moderator:
Usipende kutukana watu usiowajua.Mkojo wa FIRAUNI waujua wewe na ndiyo maana umeusema.Sijui MKOJO wa FIRAUNI,hivyo heshimu watu wengine wenye tofauti ya mawazo yako.Ninamsemea mtu asiye na uwezo hata wa kununua baiskeli iwe nyumba ya mamilioni?Huyu mkulima wa jembe la mkono anakaa kwenye viti virefu na kuvuna huo mkojo wa firauni?

Acha ushamba na upumbavu.Kama umeneemeka sababu ya system iliyopo usitukane wengine.

taratibu mkuu naona amekugusa mtimani
 
Zama za CCM kuwanunua wapiga kura kwa sahani za wali zimeishapita....sasa hivi wananchi wanataka maendeleo. Kama CCM waliwaahidi wananchi MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA badala yake wamewaletea maisha magumu, hivi mwezi Oktoba mtakuja na hoja gani tena laiza? Sijawahi kuona watu wenye akili za kitutusa na wasiokuwa na aibu kama maCCM.

View attachment 216812

Tazama AMBULANCE zinazotumika kubebea wagonjwa huku hii mifisadi ikitafuna fedha za umma bila huruma!!!!!!!!

View attachment 216810

View attachment 216811

Hivi nyie FaizaFoxy, MwanaDiwani, MSALANI, T 2015 CCM East African Eagle, Ritz, mjepo, laki si pesa, Agogwe, gsu, Simiyu Yetu, thatha, et al, mnaoshabikia WEZI mmerogwa au mmesukurishwa hadi mkawa misukule ya Lumumba?
tpaul picha zako hazina mantik wala uhusiano na mada!!! huyo aliyebebwa kwenye torol una hakika gani alikuwa anakwenda hospital na hizo pilau zina bendera ya ccm??? kwa sasa hakuna chama mbadala wa ccm labda baada ya miaka 500. Ukawa Labda urais wa Fm academia au raisi wa yanga
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom