CCM nambari wani

CCM nambari wani

najiuliza watanzania sijuhi tumelogwa hivi watu wanataka rasilimali zikombwe zote ndo wamin hawa jamaa walikuwa hawafai so pain elf kumi mtu anauza haki yake wakati wakula.we need revolution you are the source.

Kweli kaka we have to change ila wa tz sasa hivi muamko uliopo unatia moyo kidogo
 
mkulima anakunya togwa ulanzi mbege piwa gongo kangara na kila aina ya pombe ya kienyeji nayo ni starehe ya miguu mirefu na kukunja nne. lakini mkulima bora hujipangia maisha yake na akiuza mazao hukimbilia kuwekeza aidha kwenye kuimarisha kilimo au kwenye usafiri au kwenye ujenzi
Usipende kutukana watu usiowajua.Mkojo wa FIRAUNI waujua wewe na ndiyo maana umeusema.Sijui MKOJO wa FIRAUNI,hivyo heshimu watu wengine wenye tofauti ya mawazo yako.Ninamsemea mtu asiye na uwezo hata wa kununua baiskeli iwe nyumba ya mamilioni?Huyu mkulima wa jembe la mkono anakaa kwenye viti virefu na kuvuna huo mkojo wa firauni?

Acha ushamba na upumbavu.Kama umeneemeka sababu ya system iliyopo usitukane wengine.
 
sahani za pilau umezipiga kwenye mkutano wenu au wapi? huyo anayebebwa kwenye wheelbarrow una hakika gani kama sio mlevi mbwa? ambulance ziko kwenye zahanati za wilaya na tarafa sasa ukiwa kijijini huna budi kukabiliana na hali hiyo. na hilo hatumlaumu mtu wala serikali . inategemea wewe una uchungu gani na taifa lako ukachangia japo ka ambulance kamoja
Zama za CCM kuwanunua wapiga kura kwa sahani za wali zimeishapita....sasa hivi wananchi wanataka maendeleo. Kama CCM waliwaahidi wananchi MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA badala yake wamewaletea maisha magumu, hivi mwezi Oktoba mtakuja na hoja gani tena laiza? Sijawahi kuona watu wenye akili za kitutusa na wasiokuwa na aibu kama maCCM.

View attachment 216812

Tazama AMBULANCE zinazotumika kubebea wagonjwa huku hii mifisadi ikitafuna fedha za umma bila huruma!!!!!!!!

View attachment 216810

View attachment 216811

Hivi nyie FaizaFoxy, MwanaDiwani, MSALANI, T 2015 CCM East African Eagle, Ritz, mjepo, laki si pesa, Agogwe, gsu, Simiyu Yetu, thatha, et al, mnaoshabikia WEZI mmerogwa au mmesukurishwa hadi mkawa misukule ya Lumumba?
 
mkulima anakunya togwa ulanzi mbege piwa gongo kangara na kila aina ya pombe ya kienyeji nayo ni starehe ya miguu mirefu na kukunja nne. lakini mkulima bora hujipangia maisha yake na akiuza mazao hukimbilia kuwekeza aidha kwenye kuimarisha kilimo au kwenye usafiri au kwenye ujenzi

Hivi huo ULANZI,TOGWA,MBEGE na GONGO ni shilingi ngapi kwa lita?Usijifananishe na mkulima kaka,huyu ambaye kila siku pembejeo zinapanda na mazao yake yanashuka bei kila siku.Anachokunywa hakifiki hata laki kwa mwaka.
 
tumesha wajua siku hizi mnakwepa kujitambulisha usiasa wenu mnaogopa ZOMEAZOMEA.
POLE SANA.

Kaka mie siyo mwanachama wa CCM,hilo ulijue,mimi ni mwanachama wa CDM na wala siogopi kujitambulisha kwnai hata kwenye familia wananijua na hata marafiki zangu wanajua.

Lakini bado sijifungi kwenye chama,ninajali UTAIFA wangu kwanza.
 
aibu ona wewe erythrocyte mimi natetea kile ninachoamini nawe tetea unachoamini tusizuiane kutoa mawazo tuwaachie watu wasome wenyewe

Kwa wingi wa ile hela iliyokwapuliwa na kugawanywa kama mali iliyotekwa vitani , siwezi kushangaa mtu kutokwa povu la kufa na kupona .
 
sahani za pilau umezipiga kwenye mkutano wenu au wapi? huyo anayebebwa kwenye wheelbarrow una hakika gani kama sio mlevi mbwa? ambulance ziko kwenye zahanati za wilaya na tarafa sasa ukiwa kijijini huna budi kukabiliana na hali hiyo. na hilo hatumlaumu mtu wala serikali . inategemea wewe una uchungu gani na taifa lako ukachangia japo ka ambulance kamoja
View attachment 216954 HUYU NI WEWEE....
mbaffff zako kaongee kijijini kwenu haya maneno alfu upate kipigo cha mmbwa mwizi kama yule m/kiti feki wa ccm alijiokoa kwa kukukimbilia mtaroni.
 
kaka mie siyo mwanachama wa ccm,hilo ulijue,mimi ni mwanachama wa cdm na wala siogopi kujitambulisha kwnai hata kwenye familia wananijua na hata marafiki zangu wanajua.

Lakini bado sijifungi kwenye chama,ninajali utaifa wangu kwanza.
kwenddddrrraaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!! Chadema hakuna misukule
 
CCM walianza na ngonjera ya ‘Maisha Bora Kwa Kila Mtanzania'. Baada ya kuimba ngonjera hii kwa muda wa miaka 5 na kukosa muitikiaji, wakaamua kubalili mapigo na kuibuka na ngonjera mpya waliyoipa jina la ‘Ari mpya, Nguvu mpya na Kasi mpya' (ANGUKA). Pamoja na usanii huu wote, maisha ya mtanzania yamezidi kuwa duni mwaka nenda mwaka rudi!

View attachment 175945 View attachment 175951 View attachment 175957

Tangu CCM washike madaraka nchi imekuwa haina mwelekeo. CCM inafanana na mtu mwenye jino moja. Mtu kama huyo hata umlishe namna gani hawezi kunenepa. Lazima atakufa kwa njaa kwa kuwa hana meno ya kutafunia chakula.

View attachment 175940

Nchi hii imejaliwa rasilimali nyingi za asili kama vile ardhi, maziwa , bahari na mito, madini, misitu, wanyama, nk. Lakini kwa kuwa CCM haina meno, imewaalika wenye meno (wawekezaji) waje watafune (wakavune) rasilimali hizo huku wakiiacha nchi ikiwa ikiwa tupu! Migogoro katika maeneo ya uchimbaji madini na maeneo yenye ardhi ya rutuba imekuwa ikitokea kila kukicha. Wananchi wamenyanganywa ardhi yao nzuri wamepewa ‘wawekezaji'. Watanzania wanyonge wamegeuka wakimbizi ndani ya nchi yao. Wananchi wamekata tamaa na utawala wa CCM. Hawana hamu nayo!

View attachment 175946 View attachment 175953

Huduma za jamii kama vile maji, umeme, barabara, elimu na afya imekuwa duni kiasi cha kukatisha tamaa. Wanafunzi kusomea chini ya miti ni suala la kawaida kabisa na wale wachache waliobahatika kupata kupata madarasa duni huketi chini ya sakafu ya vumbi au juu ya matofali! Hali hii mpaka lini hasa? CCM wala hawajali kwa kuwa watoto wao husomeshwa kwenye shule nzuri zenye walimu weledi na vifaa vya kufundishia vinavyotosheleza mahitaji.

View attachment 175947View attachment 175948 View attachment 175950 View attachment 175955 View attachment 175956

Mwalimu Nyerere alipokea uongozi wa nchi kutoka kwa wakoloni wakati nchi ikiwa taabani kiuchumi lakini hatukuwahi kushuhudia ugumu wa maisha kama tunavyoshuhudia hivi sasa. Ni lini hasa CCM na mafisadi wake wataboresha huduma za jamii na kuwafanya wananchi waishi maisha yenye utu?

CCM haina tofauti na mtu mzima aliyekabidhiwa kumlea mtoto mdogo badala yake akanywa maziwa ya mtoto na kumuacha mtoto akifa kwa njaa.

View attachment 175944

Hii maana yake ni kwamba CCM imeamimiwa na wananchi wakaikabidhi rasilimali zote wakitegemea iwaletee maendeleo lakini wanaonufaika na rasilimali hizi ni mafisadi wachache ndani ya chama na seerikali huku wananchi wakiishi maisha duni kupindukia.

CCM ni sawa kabisa na mtu mzima anayemtumia mtoto mdogo kama ngazi kwa manufaa yake binafsi. Mtu wa namna hiyo lazima anakuwa na hililafu kichwani mwake.

View attachment 175937

Vivo hivyo, CCM na mafisadi wake huwatumia walalahoi kama ngazi ya kupandia madarakani na wakishayapata hayo madaraka huuwaacha wananchi solemba. Sote ni mashahidi jinsi ambayo CCM inavyowakumbatia mafisadi na makuwadi wa mabeberu wanaokomba rasilimali za taifa na kuiacha nchi ikiwa kama jangwa.

CCM wameishiwa ubunifu wa kuitoa nchi hapa ilipo na kuipeleka mbele. Hata mcheza shoo anawazidi akili maCCM. Mcheza shoo hutumia mwili wake kama rasilimali ya kujiletea maendeleo kwa kuwaburudisha wateja wake na kuwakonga nyoyo zao.Kama vile mcheza shoo anayotumia rasilimali aliyonayo (mauno) kujiletea maendeleo, tulitarajia kwamba CCM watumie rasilimali zilizopo nchini kuwaletea wananchi maendeleo endelevu lakini wao bado wamelala usingizi wa pono.

View attachment 175936

Hata mbuzi anawazidi CCM akili. Wakati wa kiangazi, mbuzi hutumia maarifa yote kuyafikia majani popote yalipo lakini CCM wao wamelala usingizi huku wakitegemea kuombaomba misaada badala ya kutumia rasilimali tulizonazo kuwanufaisha watanzania wote.

View attachment 175935

Nchi hii ina rasilimali lukuki ambazo kama zingetumika vizuri zingeleta manufaa kwa watanzania wote. Kinyume chake rasilimali zote wamekabidhiwa mabeberu (wanaopambwa kwa jina la ‘wawekezaji') ambao wamemimika kutoka kila pembe ya dunia na kukimbilia kuvuma utajiri uliojaa tele nchini Tanzania.

View attachment 175934

Baada ya CCM kushindwa kuiendeleza nchi, wameamua kuwarubuni wananchi wenye njaa kwa lengo la kuwarejesha madarakani kila uchguzi mkuu uitishwapo. Mgao wa fedha wanazopata kutoka kwa mabepari waliowakabidhi rasilimali zetu, hutumikia kama chambo cha kuwarejesha madarakani kwa kuwapikia chakula, kuwapanga kama ng'ombe kwenye mistari na kuwalisha pilau.

View attachment 175933

Hii ndio kete ya mwisho iliyobaki. Mbinu nyingine zozote ziwazo zimeshindwa kufanya kazi. CCM wamewatia wananchi njaa kwa kutapanya rasilimali zao ili iwe rahisi kuwarubuni kwa kuwalisha chakula, kuwanunulia mbege, mataputapu, t-shirts, kanga, fulana, chumvi, sabuni, nk.

View attachment 175929 View attachment 175930View attachment 175952 View attachment 175978

Na kwa kuwa wananchi hawa wana njaa ya kutisha huamua kugawa kura zao kwa CCM, kisha hukaa na njaa na dhiki zao kwa miaka mingine mitano. Miaka mitano ikiisha CCM huwaendea tena na kuwalisha chakula na kuwapa vizawadi uchwara na hatimaye huwarejesha madarakani tena. Huu ni mzunguko hatari sana ambao kama usipodhibitiwa, wanachi wetu watazidi kutopea kwenye ufukara hadi Yesu atakaporudi. Wakati wa kutafuta kura kwa wananchi, wataingia hadi kwenye mahandaki lakini wakishapata hizo kura hawawakumbuki tena wananchi waliowapa kura.

View attachment 175928 View attachment 175979

Janja ya CCM ni sawa na mfugaji mpumbavu ambaye hamlishi ng'ombe wake lakini kila uchao utamkuta amening'inia kwenye chuchu akimkamua maziwa. Yuko radhi kukamua mpaka damu zitoke kuliko kumlisha na kumnenepesha ng'ombe wake ili apate maziwa mengi zaidi.

View attachment 175926 View attachment 175980

MaCCM hawaboreshi maisha ya wananchi lakini kila mwaka hupandisha kodi za bidhaa na huduma na kuyafanya maisha ya walalahoi yawe magumu zaidi. Kila bajeti isomwapo utasikia bia, soda, mkate, mafuta na bidhaa zingine zikipanda bei wakati uchumi wa watanzania bado upo pale pale!

View attachment 175924 View attachment 175925

Silaha ya mwisho kabisa waliyosalia nayo ni kuwabeba wananchi kwenye malori ya mchanga kuwapeleka kwenye mikutano yao ya siasa pamoja na kuwalipa posho uchwara ili kuwajazia mikutano yao ambayo siku za nyuma ilikuwa ikikosa wasikilizaji/wahudhuriaji. CCM wametufikisha hapa tulipo baada ya kuwafukarisha wananchi ili iwe rahisi kuwatawala.

View attachment 175958

Posho zenyewe wanzopewa ili kuhudhuria mikutano ya CCM huwa ni kidogo sana kiasi cha kupelekea wahudhuriaji kupigana ngumi na mateke wakigombea hayo makombo kidogo wanayoambulia kutoka kwa mafisadi. Hii ndio CCM zaidi ya mnavyoifahamu. CCM oyeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!

View attachment 175977 View attachment 175981

:israel:

uchambuzi makini!
CC: REV KISOLO
 
Last edited by a moderator:
aibu ona wewe erythrocyte mimi natetea kile ninachoamini nawe tetea unachoamini tusizuiane kutoa mawazo tuwaachie watu wasome wenyewe

ni kweli huwezi kuona aibu maana akili yako imeshatekwa na ufisadi!!!
 
kwenddddrrraaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!! Chadema hakuna misukule

Usinitukane kaka mie ni mtu na heshima zangu,kama MSUKULE waweza kuwa mwenyewe.

Rudi kwenye post zangu zote uone kama nafanania na ujinga wa CCM.Labda kama mwenzangu ni MwanCCM na unaona kiama na post zangu.

Pole sijui kutukana ila ukitaka nikutukane sitakutukana bali nitakudharau sababu unatumia MATUSI badala ya HOJA.Rudi kwenye post zangu zote uone ni wapi nimetoa hoja yenye UCCM,niko KITAIFA zaidi,sijali mtu ni chama gani akivurunda nitamwambia ukweli,na daima ukweli ndiyo ngao yangu.

Siyo mwanaCCM na ukitaka hata number ya kadi yangu naweza kukupa.

Pole maisha ndivyo yalivyo,wanasema ...USILILIJUA NI SAWA NA USIKU WA KIZA.
 
yeah! huyo anayetwangwa na magamba wenzake hapo juu ni Chabruma. hawa watu ni kama fisi pindi wanapogawana buku 7 wanazogawiwa huko lumumba...wakidhurumiana hutembeza ngumi vibaya sana. ukoo wa panya unafanana tangu babu hadi mjukuu...wote wezi tu. dhambi ya ukwapuaji wa rasilimali za umma itawatafuna tangu kizazi cha kwanza hadi cha mwisho.

tatizo vijana lumumba wanashabikia chama kama wanavyoshabikia mpira (yanga). kwenye mpira hata timu yako ikishuka daraja unashuka nayo. ushabiki wa kipuuzi kama huo ndio vijana wa #lumumba wanaoufanya. CCM imeishashuka daraja lakini bado wameing'ang'ania. huu ni ushabiki wa kijuha kabisa.

nichukue fursa hii kuwapongeza ndugu lusungo na Mamndenyi kwa kukubali kwenda na wakati. hawa vijana wanajitambua sana na hawaburuzwi na mtu yeyote kama vipofu...wanatanguliza masilahi ya nchi badala ya chama tofauti na akina Elungata, et al.

Hapo mwigulu hayupo hapo
 
Last edited by a moderator:
Kweli kabisa mkuu. Kinachotokea ni kwamba vijana wa kimagamba pindi wafikapo Luumba na kuchukua laptop za kufanyia kazi, akili zao huzikabidhi kwa bosi wao, Nape Nnauye na kubakiwa hawana akili hata moja kichwani mwao.

View attachment 217065

Vichwa vyao hubaki vitupu kama nazi au chura wa maji chumvi. Akina MSALANI na kikosi chake hawapendi kuwaona watanzania wameanza kujitambua na kuwakataa mafisadi.

View attachment 217066

Nashindwa kuelewa hawa vijana wa Lumumba huwa wanalipwa shilingi ngapi zinazowapofua macho na kujifanya hawaoni maisha magumu wanayoishi wananchi walio wengi. Tazama jinsi wananchi wanavyoteseka na ugumu wa maisha huku mafisadi na madalali wao wakiishi kama vile wako peponi:

View attachment 217068
 
Last edited by a moderator:
@tpaul kwanini unaishi maisha ya wasiwasi mkuu? unawafitinisha wananchi dhidi ya chama chao ila ujue mwisho wa chuki ni aibu, karibu CCM mimi nitakulipia ada ya chama ya miaka miwili Chama-Cha-Mapinduzi.jpg
 
Back
Top Bottom