Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
siyo kinana na nape tu , hata makonda naye kala kona ! Huu uzi usipime mkuu .
a bunch of twits!
ndugu yangu laiza, wewe unatetea kile unachokiamini au kile kinachokunufaisha wewe na watanzania wote kwa ujumla? kwa hivyo kama unaamini kwamba mavi ni chakula utayala, hata kama yakikudhuru? inawezekana unatania, hujitambui au umejitoa akili. sina uhakika kwamba unaweza ukawa unatetea kitu unachokiamini bila kuzingatia madhara hasi ya kitu hicho kwako na jamii nzima kama vile unavyoitetea CCM bila kujali kwamba CCM imechangia kwa 101% kudidimiza maisha ya watanzania, kuwanyonya na kuwafukarisha. watu wa aina yako ndio mnaosababisha nchi hii isipate ukombozi.
![]()
Wanawake wakifanya jitihada ya kutafuta maji kwa ajili ya matumizi katika familia zao. Picha na Maktaba.
Wiki ya âkutafuta majiâ yaanza - Kitaifa - mwananchi.co.tz
![]()
A girl draws water for domestic use from a shallow well at Saranga Ward in Kinondoni District, Dar es Salaam, yesterday. The locality is among many areas in Dar es Salaam where clean and safe water is in short supply, forcing residents to either rely on unsafe sources or buy the commodity from vendors for up to Sh1,000 per 20 litres. PHOTO | SALIM SHAO