PreGE2025 CCM nawakumbusha tu kuwa Heche nae ana umri wa kugombea Urais

PreGE2025 CCM nawakumbusha tu kuwa Heche nae ana umri wa kugombea Urais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Benson Mramba

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2013
Posts
766
Reaction score
1,884
Hadi kufikia mwishoni mwa June kuna uwezekano Heche akawa Equivalent au Equal na Lissu. Mbaya zaidi atakuwa ameshazunguka nchi nzima kuhutubia wananchi.

CCM wakajifunze Senegal kwa Sonko na Faye. Utawapa kesi wote au utateka wote? Wakati ukuta.
 
Back
Top Bottom