Benson Mramba JF-Expert Member Joined Oct 29, 2013 Posts 766 Reaction score 1,884 May 28, 2025 #1 Hadi kufikia mwishoni mwa June kuna uwezekano Heche akawa Equivalent au Equal na Lissu. Mbaya zaidi atakuwa ameshazunguka nchi nzima kuhutubia wananchi. CCM wakajifunze Senegal kwa Sonko na Faye. Utawapa kesi wote au utateka wote? Wakati ukuta.
Hadi kufikia mwishoni mwa June kuna uwezekano Heche akawa Equivalent au Equal na Lissu. Mbaya zaidi atakuwa ameshazunguka nchi nzima kuhutubia wananchi. CCM wakajifunze Senegal kwa Sonko na Faye. Utawapa kesi wote au utateka wote? Wakati ukuta.