CCM ndio chama pekee Afrika kitadumu dahari kwa dahari

naunga mkono hoja 100%

umefanya vizuri sana kueleza Ukweli Japo kwa kifupi namna ambavyo CCM ilivyo imara, madhubuti na yenye maono ya mbali kwa mustakabali mwema wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania..

Kidumu Chama Cha Mapinduzi 🐒
 
Siku zote mtu aliyevimbiwa huwa anatapika tu hewa chafu kama unavyofanya wewe hapa. Ila siku itakapofika, hutaamini macho yako.
 
Kwa hiyo ranking tunapewa kama nchi kwa
1. Watu wake kukosa furaha
2 watu wake kuwa masikini kuishi chi ya Dola
4) nchi kuwa na uchumi Duni yenye gdp ndogo sana

Kwa Hizi ranking ccm huenda haihusiki nazo kabisa

Na waitawale milele tu kama watu wake wameridhika na hali
 
CCM imepitia transformation nyingi toka TAA,hadi TANU na baadae muungano wa TANU na Afro Shiraz Party kuzaa CCM.
Ina dola,kila siku inawaza namna ya kuendelea kubaki kwenye dola miaka 1000!
Wakati vyama vingine vimepitia vizingiti lukuki,kwanza ni vichanga,pili havipo kwenye serikali tatu havina pesa ya kujitosheleza kunadi sera ,zao nchi nzima ni kitendawili.
 
Vilikuwepo sana tu
 

BAWASIRI IWEZI KUISHA KWA MAONGEZI YAKO HAPA JF
 
Nenda YouTube kaangalie how Nokia declined
When generation change no one is safe
Kizazi kikibadilika hakuna aliyesalama kizazi ndio kitakachoieondoa CCM kama zilivyopita zama za msondo ngoma asilimia kubwa walioandamana kenya ni generation Z jitafakari wewe kada mtiifu.
 
Kilichobaki ni wananchi bila ya kujali chama wapiganie haki yao km Kenya,chama tawala na vyama vya upinzani vime -fail.
 
Ni kweli lakini tozo tunalipa wote, umeme ukikata unakata na kwako.
 
KANU wenzetu walisema kama wewe
 
Ni kwa vile tu huelewi maana ya neno "dahari".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…