Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
- Thread starter
- #21
Wapinzani wote nchini hawajui kujaza fomu ya ugombea!Adhibitiwe,
Anaweza kuhujumu hata vyama vya upinzani visisimamishe mgombea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapinzani wote nchini hawajui kujaza fomu ya ugombea!Adhibitiwe,
Anaweza kuhujumu hata vyama vya upinzani visisimamishe mgombea.
Inauma sana mkuu mimi hadi mida hii sina uhakika wa daku halafu ukirudia kumsikiliza CAG kwakweli unaweza kupata magonjwa ya ajabu.Kitendo Cha kuskia watu wanapiga mamilion afu hata uhakika wa ftali Sina inanipa sonona