Jaji Mfawidhi JF-Expert Member Joined Feb 20, 2016 Posts 15,835 Reaction score 23,776 Mar 29, 2024 Thread starter #21 Rabbon said: Adhibitiwe, Anaweza kuhujumu hata vyama vya upinzani visisimamishe mgombea. Click to expand... Wapinzani wote nchini hawajui kujaza fomu ya ugombea!
Rabbon said: Adhibitiwe, Anaweza kuhujumu hata vyama vya upinzani visisimamishe mgombea. Click to expand... Wapinzani wote nchini hawajui kujaza fomu ya ugombea!
Hector Cooper JF-Expert Member Joined Apr 16, 2023 Posts 696 Reaction score 1,036 Mar 29, 2024 #22 machafuko jr said: Kitendo Cha kuskia watu wanapiga mamilion afu hata uhakika wa ftali Sina inanipa sonona Click to expand... Inauma sana mkuu mimi hadi mida hii sina uhakika wa daku halafu ukirudia kumsikiliza CAG kwakweli unaweza kupata magonjwa ya ajabu.
machafuko jr said: Kitendo Cha kuskia watu wanapiga mamilion afu hata uhakika wa ftali Sina inanipa sonona Click to expand... Inauma sana mkuu mimi hadi mida hii sina uhakika wa daku halafu ukirudia kumsikiliza CAG kwakweli unaweza kupata magonjwa ya ajabu.