Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
Naomba niseme yafuatayo, CCM yenye kufuata demokrasia, yenye kuheshimu sheria na katiba, CCM yenye ufahamu kuwa haina umiliki wa Tanzania bali li inadhamana ya watanzania ndio itadumisha amani na utulivu.
Utawala wenye kuzingatia ukatiba na misingi ya demokrasia ndio nguzo ya amani na utulivu katika kusimamia dhamana waliyopewa.
Endapo CCM ikavunja misingi ukatiba na misingi ya demokrasia basi amani ya Tanzania itatoweka kwa kadri uvunjwaji wa katiba na Demokrasia utakavokuwa ukishamiri.
Nitoe Rai kwa wenye dhamana nchi hio ya Tanzania ni yenu nyote ni yetu sote na hakuna mwenye hati miliki. Ukinzani wa fikra, mawazo, maoni na kukosoana na kutofautiana ni afya ya akili ambayo. ni tunu ya uumbaji wa mwenyeji Mungu.
Kwa hayo machache niwatakie siku njema na jumapili njema
Inshallah Undugu ni afya katika Taifa la Mungu.
Shukrani