johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Kama unabisha Fanya Utafiti utujuze taasisi gani iwe ya umma au NGO inaizidi CCM
1. CCM ina rasilimali kila Mkoa na Wilaya hadi kata
2. CCM ina Wanachama kila mtaa
3. CCM ina mbunge kila jimbo pale iliposhindwa kwa Kura imeweka wa viti maalum
4. CCM ina viwanja vikubwa vya michezo kila mkoa
5. CCM ina taasisi yake ya Vijana kwenye kila Chuo kikuu nchini na nje ya nchi
Anayebisha Nimekaa pale 🐼