CCM Ndugu zangu, this is too much, halafu cha ajabu Watanzania wapo kimya

CCM Ndugu zangu, this is too much, halafu cha ajabu Watanzania wapo kimya

Liverpool VPN

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2020
Posts
7,900
Reaction score
18,457
Hebu cheki
1. CHAMATA
Chawa wa Mama Tanzania
2. Samia Suluhu Serengeti Music Festival
3. Samia Boxing
4. Samia Kings
5. Samia Tunamsemea (Wanafunzi wa Chuo)
6. Samia ....
7. Samia .....
8. Samia ......
9. --- 100.

Halafu sasa kuna hiii 👇👇👇
1745544057610.jpg

1745544044035.jpg

1745544067941.jpg

Bado kuna .....
1. Bodaboda za Samia
2. Pen za Samia
3. Yaani Everything for Samia...!!!

NAOMBA KUULIZA
1. Halafu zote hizi ni FEDHA ZINAZOTOKA WAPI?
2. Kwani kampeni zishaanza?
3. Kama SAMIA EVERYTHING vinafanyika kwa "Kujinafasi" kwanini wengine wanabanwa??

CCM ndugu zangu, THIS IS TO MUCH.
Toweka "Speed Gavana" on Tafadhali.

Anyway....
Ndugu zangu Watumishi wa Umma, Tuendelee kula hela zisizo na mwenyewe maana hata huyo Mwenyekiti wao na wapambe wake A.K.A chawa wanapita nazo.

Halafu cha ajabu, WATANZANIA wapo kimyaaaaa WAMERIDHIKA KABISAAAA...!!
 
Y
Hebu cheki
1. CHAMATA
Chawa wa Mama Tanzania
2. Samia Suluhu Serengeti Music Festival
3. Samia Boxing
4. Samia Kings
5. Samia Tunamsemea (Wanafunzi wa Chuo)
6. Samia ....
7. Samia .....
8. Samia ......
9. --- 100.

Halafu sasa kuna hiii 👇👇👇
View attachment 3314849
View attachment 3314850
View attachment 3314851

Bado kuna .....
1. Bodaboda za Samia
2. Pen za Samia
3. Yaani Everything for Samia...!!!

NAOMBA KUULIZA
1. Halafu zote hizi ni FEDHA ZINAZOTOKA WAPI?
2. Kwani kampeni zishaanza?
3. Kama SAMIA EVERYTHING vinafanyika kwa "Kujinafasi" kwanini wengine wanabwa??

CCM ndugu zangu, THIS IS TO MUCH.
Toweka "Speed Gavana" on Tafadhali.

Anyway....
Ndugu zangu Watumishi wa Umma, Tuendelee kula hela zisizo na mwenyewe maana hata huyo Mwenyekiti wao na wapambe wake A.K.A chawa wanapita nazo.

Halafu cha ajabu, WATANZANIA NI KAMA MAZOMBIII, maana wapo kimyaaaaa WAMERIDHIKA KABISAAAA.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Yupo baba Mmoja hapa JamiiForums anajiita MamaSamia2025
 
Hebu cheki
1. CHAMATA
Chawa wa Mama Tanzania
2. Samia Suluhu Serengeti Music Festival
3. Samia Boxing
4. Samia Kings
5. Samia Tunamsemea (Wanafunzi wa Chuo)
6. Samia ....
7. Samia .....
8. Samia ......
9. --- 100.

Halafu sasa kuna hiii 👇👇👇
View attachment 3314849
View attachment 3314850
View attachment 3314851

Bado kuna .....
1. Bodaboda za Samia
2. Pen za Samia
3. Yaani Everything for Samia...!!!

NAOMBA KUULIZA
1. Halafu zote hizi ni FEDHA ZINAZOTOKA WAPI?
2. Kwani kampeni zishaanza?
3. Kama SAMIA EVERYTHING vinafanyika kwa "Kujinafasi" kwanini wengine wanabanwa??

CCM ndugu zangu, THIS IS TO MUCH.
Toweka "Speed Gavana" on Tafadhali.

Anyway....
Ndugu zangu Watumishi wa Umma, Tuendelee kula hela zisizo na mwenyewe maana hata huyo Mwenyekiti wao na wapambe wake A.K.A chawa wanapita nazo.

Halafu cha ajabu, WATANZANIA NI KAMA MAZOMBIII, maana wapo kimyaaaaa WAMERIDHIKA KABISAAAA...!!

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Wajukuuu wa mama(wale watu warefu kwenda chini)
Walevi wa mama
 
Jana ndugu zetu wamevunja miguu. Nadhani mim pia naelekea huko maana uvumilivu unaenda kunishinda inaumiza sana kuona watu wachache wanaifanya nchi yetu sote kama yakwao wenyewe sisi hatuna sauti. Si mnasema ni keibadi waliya? ngoja tuone tunakoelekea
 
Hebu cheki
1. CHAMATA
Chawa wa Mama Tanzania
2. Samia Suluhu Serengeti Music Festival
3. Samia Boxing
4. Samia Kings
5. Samia Tunamsemea (Wanafunzi wa Chuo)
6. Samia ....
7. Samia .....
8. Samia ......
9. --- 100.

Halafu sasa kuna hiii 👇👇👇
View attachment 3314849
View attachment 3314850
View attachment 3314851

Bado kuna .....
1. Bodaboda za Samia
2. Pen za Samia
3. Yaani Everything for Samia...!!!

NAOMBA KUULIZA
1. Halafu zote hizi ni FEDHA ZINAZOTOKA WAPI?
2. Kwani kampeni zishaanza?
3. Kama SAMIA EVERYTHING vinafanyika kwa "Kujinafasi" kwanini wengine wanabanwa??

CCM ndugu zangu, THIS IS TO MUCH.
Toweka "Speed Gavana" on Tafadhali.

Anyway....
Ndugu zangu Watumishi wa Umma, Tuendelee kula hela zisizo na mwenyewe maana hata huyo Mwenyekiti wao na wapambe wake A.K.A chawa wanapita nazo.

Halafu cha ajabu, WATANZANIA wapo kimyaaaaa WAMERIDHIKA KABISAAAA...!!

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Ngoma ikivuma sana ujue inakaribia kupasuka.
 
namshukuru Mungu kwa kuruhusu UMAUTI.
 
Sasa wafanyaje?
 
Back
Top Bottom