CCM Ndugu zangu, this is too much, halafu cha ajabu Watanzania wapo kimya

CCM Ndugu zangu, this is too much, halafu cha ajabu Watanzania wapo kimya

wakati tunakula nyama Land Rover festival nasikia ulikua dar es salaam umejificha manzese midizini kukimbia kukwepa madaeni ya kausha damu unayodaiwa Sombetini, vipi umemaliza au bado?

Lema nae anaruka ruka tu anabadili namba za simu kila siku badala ya kulipa madeni šŸ’
UWT mnapiga pesa sn sahivi
 
Hebu cheki
1. CHAMATA
Chawa wa Mama Tanzania
2. Samia Suluhu Serengeti Music Festival
3. Samia Boxing
4. Samia Kings
5. Samia Tunamsemea (Wanafunzi wa Chuo)
6. Samia ....
7. Samia .....
8. Samia ......
9. --- 100.

Halafu sasa kuna hiii šŸ‘‡šŸ‘‡šŸ‘‡
View attachment 3314849
View attachment 3314850
View attachment 3314851

Bado kuna .....
1. Bodaboda za Samia
2. Pen za Samia
3. Yaani Everything for Samia...!!!

NAOMBA KUULIZA
1. Halafu zote hizi ni FEDHA ZINAZOTOKA WAPI?
2. Kwani kampeni zishaanza?
3. Kama SAMIA EVERYTHING vinafanyika kwa "Kujinafasi" kwanini wengine wanabanwa??

CCM ndugu zangu, THIS IS TO MUCH.
Toweka "Speed Gavana" on Tafadhali.

Anyway....
Ndugu zangu Watumishi wa Umma, Tuendelee kula hela zisizo na mwenyewe maana hata huyo Mwenyekiti wao na wapambe wake A.K.A chawa wanapita nazo.

Halafu cha ajabu, WATANZANIA wapo kimyaaaaa WAMERIDHIKA KABISAAAA...!!
Saa hiyo nimeipenda
 
Na Usichokipenda wewe usimlazimishe mwingine asikipende
Tafadhali Ndugu tuweke akili sawa??

1. Hizi hela za Samia ...... (Everything) ni za nani?

Kwahiyo kuna watu wanapenda haya matumizi ya pesa za umma?

YAANI MATUMIZI YA PESA ZA UMMA KUNA KUPENDA TENA???

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Binafsi sioni shida kama umeme, maji, hospitali, reli, barabara, mabasi ya haraka, na mawasiliano ya internet vinapatikana hadi kijijini. Kama ufanisi wa bandari na shule vinaboreka na kama masoko ya korosho na mahindi na mbuzi na ng'ombe na kuku na soya na parachichi vipo CCM na Samia sio kikwazo kwangu.
Soma tena MADA YA HUSIKA.

HIZO HELA ZA NANI?
KWANINI WATZ HAWAHOJI MATUMIZI YA HIZO PESA??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Hebu cheki
1. CHAMATA
Chawa wa Mama Tanzania
2. Samia Suluhu Serengeti Music Festival
3. Samia Boxing
4. Samia Kings
5. Samia Tunamsemea (Wanafunzi wa Chuo)
6. Samia ....
7. Samia .....
8. Samia ......
9. --- 100.

Halafu sasa kuna hiii šŸ‘‡šŸ‘‡šŸ‘‡
View attachment 3314849
View attachment 3314850
View attachment 3314851

Bado kuna .....
1. Bodaboda za Samia
2. Pen za Samia
3. Yaani Everything for Samia...!!!

NAOMBA KUULIZA
1. Halafu zote hizi ni FEDHA ZINAZOTOKA WAPI?
2. Kwani kampeni zishaanza?
3. Kama SAMIA EVERYTHING vinafanyika kwa "Kujinafasi" kwanini wengine wanabanwa??

CCM ndugu zangu, THIS IS TO MUCH.
Toweka "Speed Gavana" on Tafadhali.

Anyway....
Ndugu zangu Watumishi wa Umma, Tuendelee kula hela zisizo na mwenyewe maana hata huyo Mwenyekiti wao na wapambe wake A.K.A chawa wanapita nazo.

Halafu cha ajabu, WATANZANIA wapo kimyaaaaa WAMERIDHIKA KABISAAAA...!!
Ushuzi wa mama ..hii nitaileta Mimi chondechonde naomba msinipige
 
Jana ndugu zetu wamevunja miguu. Nadhani mim pia naelekea huko maana uvumilivu unaenda kunishinda inaumiza sana kuona watu wachache wanaifanya nchi yetu sote kama yakwao wenyewe sisi hatuna sauti. Si mnasema ni keibadi waliya? ngoja tuone tunakoelekea
Inauma Sanaaa.
 
Binafsi sioni haja ya hizo hekaheka. Kwa kumuhofia nani hasa, Doyo au Dorothea? Seriously kabisa. No NEED.
Wale wenye uwezo washajitoa. Then what?
 
Endelea kushupaza shingo huku wachache wakifaidi hela zisizo na wenyewe..!!!

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Habari yako mr.liverpool?

hebu fanyeni kushinda hiyo mechi ya kesho kutwa dhidi ya spurs hili mchukue huo ubingwa, mkisubiri eti muuchukulie huo ubingwa kwenye mechi ya Arsenal itakula kwenu.

Na pia kwa heshima na tahadhima naomba na mimi nitafutie gap niingie kwenye system hili tule mema ya nchi wote, ukifanikisha hili mshaara wangu wa miezi mitano ya awali utakuwa ni halali yako.

Tusaidiane ndugu wote tulambe asali, mtaani kugumu sana bwashe.
 
Back
Top Bottom