CCM Ndugu zangu, this is too much, halafu cha ajabu Watanzania wapo kimya

Lakini ukimsimamisha na Tundu Lissu kwa tume huru,hatoboi
 
Ndio hali ilivyo Hamna namna

Na Usichokipenda wewe usimlazimishe mwingine asikipende


Kwa sasa Inabidi na wengine wapambane kivyao kwa kile wanachoamini
Wadada wanakuna nazi huku wamejifunga vitenge vya mama

Ova
 
Uchawa sasa ni adui wa nne wa Taifa, na tunapoelekea unaweza kuwa janga la Taifa!
 
Lazima watu wajenge mahekalu mwaka huu .

Naomba hiyo festival yao ya kawe ikawe kama ile ya temeke 2020 watu wapigane mateke , wapeane mimba sislzizo na baba na ndoa zivunjike

Maombi ya kishetani haya joka kuu
 
Shauri zenu , izo pafum angalieni sana
 
Binafsi sioni shida kama umeme, maji, hospitali, reli, barabara, mabasi ya haraka, na mawasiliano ya internet vinapatikana hadi kijijini. Kama ufanisi wa bandari na shule vinaboreka na kama masoko ya korosho na mahindi na mbuzi na ng'ombe na kuku na soya na parachichi vipo CCM na Samia sio kikwazo kwangu.
 
Kumbe kuna fursa namimi naanzisha ya kwangu
 
Goli la mama
 
Kaskazini hakuna wajinga kama wewe ndiyo maana hata Lucas Mwashambwa anatokea Songwe jirani ako huko Lindi
wakati tunakula nyama Land Rover festival nasikia ulikua dar es salaam umejificha manzese midizini kukimbia kukwepa madaeni ya kausha damu unayodaiwa Sombetini, vipi umemaliza au bado?

Lema nae anaruka ruka tu anabadili namba za simu kila siku badala ya kulipa madeni πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…