Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
UWT mnapiga pesa sn sahiviwakati tunakula nyama Land Rover festival nasikia ulikua dar es salaam umejificha manzese midizini kukimbia kukwepa madaeni ya kausha damu unayodaiwa Sombetini, vipi umemaliza au bado?
Lema nae anaruka ruka tu anabadili namba za simu kila siku badala ya kulipa madeni 🐒
nimewasiliana na Mchome anadai eti huonekani Arusha wala dar. Kwanini unaishi kama popo aise?UWT mnapiga pesa sn sahivi
Jina la Samia ni Nuru, ukilitumia tu biashara inafanyika. Sasa uhangaike utumie jina la heche utageuka kuwa kama ndondocha!!watu wanafanya biashara jombaa...
Saa hiyo nimeipendaHebu cheki
1. CHAMATA
Chawa wa Mama Tanzania
2. Samia Suluhu Serengeti Music Festival
3. Samia Boxing
4. Samia Kings
5. Samia Tunamsemea (Wanafunzi wa Chuo)
6. Samia ....
7. Samia .....
8. Samia ......
9. --- 100.
Halafu sasa kuna hiii 👇👇👇
View attachment 3314849
View attachment 3314850
View attachment 3314851
Bado kuna .....
1. Bodaboda za Samia
2. Pen za Samia
3. Yaani Everything for Samia...!!!
NAOMBA KUULIZA
1. Halafu zote hizi ni FEDHA ZINAZOTOKA WAPI?
2. Kwani kampeni zishaanza?
3. Kama SAMIA EVERYTHING vinafanyika kwa "Kujinafasi" kwanini wengine wanabanwa??
CCM ndugu zangu, THIS IS TO MUCH.
Toweka "Speed Gavana" on Tafadhali.
Anyway....
Ndugu zangu Watumishi wa Umma, Tuendelee kula hela zisizo na mwenyewe maana hata huyo Mwenyekiti wao na wapambe wake A.K.A chawa wanapita nazo.
Halafu cha ajabu, WATANZANIA wapo kimyaaaaa WAMERIDHIKA KABISAAAA...!!
Wako busy kufanya challenge TikTok na kubet..!!Halafu cha ajabu, WATANZANIA wapo kimyaaaaa WAMERIDHIKA KABISAAAA...!!
Utasubiri snnimewasiliana na Mchome anadai eti huonekani Arusha wala dar. Kwanini unaishi kama popo aise?
au hii ndio ile kukopa sherehe kulipa matanga ee?🐒
Tafadhali Ndugu tuweke akili sawa??Na Usichokipenda wewe usimlazimishe mwingine asikipende
Ng'ombe za mama zipo NYINGI SANAA.Hadi Ng'ombeView attachment 3314912
Kwahiyo wewe hujui chakufanya kwa hao wachache WANAOTAFUNA KODI YAKO KWA MASLAHI YAO????Sasa wafanyaje?
Nimeliona hili na WAKAZILA HASA..!!!Ukitaka kupiga pesa za umma wewe taja jina Samia chap hela inatoka
Sawasawa HUMAN wa DUNIANI.Maroboti ya JF kazini
Soma tena MADA YA HUSIKA.Binafsi sioni shida kama umeme, maji, hospitali, reli, barabara, mabasi ya haraka, na mawasiliano ya internet vinapatikana hadi kijijini. Kama ufanisi wa bandari na shule vinaboreka na kama masoko ya korosho na mahindi na mbuzi na ng'ombe na kuku na soya na parachichi vipo CCM na Samia sio kikwazo kwangu.
Ushuzi wa mama ..hii nitaileta Mimi chondechonde naomba msinipigeHebu cheki
1. CHAMATA
Chawa wa Mama Tanzania
2. Samia Suluhu Serengeti Music Festival
3. Samia Boxing
4. Samia Kings
5. Samia Tunamsemea (Wanafunzi wa Chuo)
6. Samia ....
7. Samia .....
8. Samia ......
9. --- 100.
Halafu sasa kuna hiii 👇👇👇
View attachment 3314849
View attachment 3314850
View attachment 3314851
Bado kuna .....
1. Bodaboda za Samia
2. Pen za Samia
3. Yaani Everything for Samia...!!!
NAOMBA KUULIZA
1. Halafu zote hizi ni FEDHA ZINAZOTOKA WAPI?
2. Kwani kampeni zishaanza?
3. Kama SAMIA EVERYTHING vinafanyika kwa "Kujinafasi" kwanini wengine wanabanwa??
CCM ndugu zangu, THIS IS TO MUCH.
Toweka "Speed Gavana" on Tafadhali.
Anyway....
Ndugu zangu Watumishi wa Umma, Tuendelee kula hela zisizo na mwenyewe maana hata huyo Mwenyekiti wao na wapambe wake A.K.A chawa wanapita nazo.
Halafu cha ajabu, WATANZANIA wapo kimyaaaaa WAMERIDHIKA KABISAAAA...!!
Na hii ndio kiboko ya mwanadamu.namshukuru Mungu kwa kuruhusu UMAUTI.
Inauma Sanaaa.Jana ndugu zetu wamevunja miguu. Nadhani mim pia naelekea huko maana uvumilivu unaenda kunishinda inaumiza sana kuona watu wachache wanaifanya nchi yetu sote kama yakwao wenyewe sisi hatuna sauti. Si mnasema ni keibadi waliya? ngoja tuone tunakoelekea
Ndiyo shortcut ya kupiga pesa za ummaNimeliona hili na WAKAZILA HASA..!!!
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Habari yako mr.liverpool?Endelea kushupaza shingo huku wachache wakifaidi hela zisizo na wenyewe..!!!
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Habari yako mr.liverpool?Endelea kushupaza shingo huku wachache wakifaidi hela zisizo na wenyewe..!!!
#YNWA
#YANGA_BINGWA