CCM Ndugu zangu, this is too much, halafu cha ajabu Watanzania wapo kimya

Wewe ulitakaje?
 
Kwa kweli inasikitisha.THANKS.
 
Chawa wako busy
 
Kib Kibaya chajitembeza kizuri chajiuza!!!!!
 
Kobe wanatunga sheria vyura wamekuwa viziwi, a.k.a kujizima data inawezekana mvua imekuwa kubwa hakuna madimbwi
 
Jina la Samia ni Nuru, ukilitumia tu biashara inafanyika. Sasa uhangaike utumie jina la heche utageuka kuwa kama ndondocha!!
Wewe ni Dr. braza tumia akili kidogoooo
Hakuna anayehoji juu ya majina, tunahoji juu ya MATUMIZI YA PESA ZA UMMA...

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Hizo saa za SSH zitakuwa na majira ya uongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…