CCM ni chama cha waoga wanaojifanya hawagopi

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,982
Reaction score
51,157
Ukiwasikia wanavyojitapa hadharani utadhani ni chama kilichojaa watu mahiri na jasiri, lakini ni chama kilichojaa watu waoga kupindukia.

Sheria wanazotunga nyingi zake ni kwa ajili ya kujihami na kuhami madaraka yao kiharamu.

Hizi sarakasi zote za kutokuwa na Tume huru ya uchaguzi na kung'ang'ania uchaguzi ufanyike hivyo hivyo ni kwa kuwa CCM Ina hofu ya kushindwa uchaguzi.

CCM ni waoga wa kukubali HAKI itawale!
 
Attachments

  • cf0ea736521de32f5d65e1a6b7fd56a4_1743187151179.mp4
    579.6 KB
Ukiwasikia wanavyojitapa hadharani utadhani ni chama kilichojaa watu mahiri na jasiri, lakini ni chama kilichojaa watu waoga kupindukia.

Sheria wanazotunga nyingi zake ni kwa ajili ya kujihami na kuhami madaraka yao kiharamu.

Hizi sarakasi zote za kutokuwa na Tume huru ya uchaguzi na kung'ang'ania uchaguzi ufanyike hivyo hivyo ni kwa kuwa CCM Ina hofu ya kushindwa uchaguzi.

CCM ni waoga wa kukubali HAKI itawale!
Umeamua kuwasema wenzako chadema kiujanjajanja sio?
Maana mitandaoni wanajitia mashujaa sana.
 
Ukiwasikia wanavyojitapa hadharani utadhani ni chama kilichojaa watu mahiri na jasiri, lakini ni chama kilichojaa watu waoga kupindukia.

Sheria wanazotunga nyingi zake ni kwa ajili ya kujihami na kuhami madaraka yao kiharamu.

Hizi sarakasi zote za kutokuwa na Tume huru ya uchaguzi na kung'ang'ania uchaguzi ufanyike hivyo hivyo ni kwa kuwa CCM Ina hofu ya kushindwa uchaguzi.

CCM ni waoga wa kukubali HAKI itawale!
Siku serikal . yao itapinduliwa, litatokea tatizo kubwa sana kwenye chama hicho
 
Ukiwasikia wanavyojitapa hadharani utadhani ni chama kilichojaa watu mahiri na jasiri, lakini ni chama kilichojaa watu waoga kupindukia.

Sheria wanazotunga nyingi zake ni kwa ajili ya kujihami na kuhami madaraka yao kiharamu.

Hizi sarakasi zote za kutokuwa na Tume huru ya uchaguzi na kung'ang'ania uchaguzi ufanyike hivyo hivyo ni kwa kuwa CCM Ina hofu ya kushindwa uchaguzi.

CCM ni waoga wa kukubali HAKI itawale!
Gentleman,
CCM wapo imara sana katika matita matita ya nyumba kumi kumi., hivi kweli wataogopa malofa na vibaka wa kisiasa wanao wafronti mabibi wa wajukuu nyumbani na wazazi wa watu kwenda kufanya mambo haramu kinyume na sheria, huku wake na watoto wa matapeli hao wa kisiasa wakiwa wanaishi ng'ambo?

that's useless and completely nonsense 🐒
 
Kila ishara na viashiria vilivyopo vinahitimisha kuwa CCM ni waoga!
 
anyway ,
vibwengo na malofa we kisiasa ndani ya chama chako endeleeni kubebana ufala wa kifikra tu, kwasabb ndicho pekee mnachoweza kufanya,

but kamwe msithubutu kuwagusa wala kuwachokokza wana CCM wanaochapa kazi zao halali kwa amani na kwa bidii sana na kulijenga Taifa lao.

ni vizuri kuelewa kwamba CCM haina haja na matapeli wala malofa wa kisiasa nchini, inajitosheleza kiuchumi, kijamii, kisiasa, kitaifa na kimataifa 🐒
 
wewe na malofa wenzio kisiasa ndani ya chama chako endeleeni kubebana ufala wa kifikra tu, kwasabb ndicho pekee mnachoweza kufanya,

but kamwe usithubutu kugusa wala kuwachokokza wana CCM wanaochapa kazi zao halali kwa amani na kwa bidii sana na kulijenga Taifa lao.

ni vizuri kuelewa kwamba CCM haina haja na matapeli wala malofa wa kisiasa nchini, inajitosheleza kiuchumi, kijamii, kisiasa, kitaifa na kimataifa 🐒
 
Ukiwasikia wanavyojitapa hadharani utadhani ni chama kilichojaa watu mahiri na jasiri, lakini ni chama kilichojaa watu waoga kupindukia.

Sheria wanazotunga nyingi zake ni kwa ajili ya kujihami na kuhami madaraka yao kiharamu.

Hizi sarakasi zote za kutokuwa na Tume huru ya uchaguzi na kung'ang'ania uchaguzi ufanyike hivyo hivyo ni kwa kuwa CCM Ina hofu ya kushindwa uchaguzi.

CCM ni waoga wa kukubali HAKI itawale!

KAULI YA WALLAH: Jogoo mwoga aghalabu huwa ndiye mfalme​

NA WALLAH BIN WALLAH
WAHENGA walisema kwa mwoga huenda kicheko kwa shujaa huenda kilio. Ukweli ni kwamba waoga hufa mara nyingi sana maishani kabla hawajafa kifo cha kweli!

Lakini wanaishi miaka mingi zaidi kabla hawajafa kweli! Shujaa hufa mara moja tu! Kifo cha shujaa hutokea haraka zaidi ndiyo maana mashujaa hawana maisha marefu. Kinachobakia cha kujivunia kwa shujaa ni kwamba huwa amekufa kishujaa! Lakini kifo ni kifo tu, hakuna kifo kitamu!

Licha ya hayo, ni bora kuwa mwoga, mpole na mnyenyekevu wa kupiga magoti chini kuliko kujitutumua na kujipiga kifua wakati mambo yanapokuwa moto!
Heri uwe kama nyasi usipigane na moto mkali nyikani. Tafadhali, okoa roho yako moja aliyokupa Mwenyezi Mungu kwa kuitunza vizuri isikutoke! Bora kuwa mwoga uishi kuliko kuwa shujaa uishe!Katika kijiji cha Kukupunda walikuwapo jogoo wawili waliopigania ufalme wa kutawala kijiji cha Kukupunda.
Kila jogoo alitaka kuwa mfalme wa kuwatawala kuku pamoja na vifaranga pale kijijini Kukupunda. Vita vikatokea kati ya Jogoo Mwekundu na Jogoo Kijivu! Vilikuwa vita vikali vya kuogofya! Jogoo Kijivu na Jogoo Mwekundu walipapurana kwa kucha na kudonoana kwa vidona vyao kwa hasira na hamaki!

Kuku wengine na vifaranga walitazama kwa wasiwasi kisirisiri tu!Jogoo Mwekundu ndiye aliyeonyesha ujeuri na ubabe zaidi. Jogoo Kijivu alimwambia Jogoo Mwekundu, ‘Tusipigane bure! Tutaumizana bure! Vita ni hasara, havina faida! Tusipigane!’
Hapo ndipo Jogoo Mwekundu alipochachamaa na kujipiga kifua zaidi akaongeza hasira kumshambulia Jogoo Kijivu! Akamparuza na kumdonoadonoa kichwani, machoni na kwenye undu!
Jogoo Kijivu akavuja damu kichwani! Aliogopa akakimbia kuingia katika nyumba kujificha chini ya kitanda! Jogoo Mwekundu alipoona mwenzake amekimbia, alijipapatua mbawa zake akawika kwa maringo kutangaza ushindi, ‘Mimi ndiye mfalme wa kuku wote kijijini Kukupunda!’
Alitaka dunia nzima ijue kwamba alishinda. Akapanda juu kabisa kwenye paa la nyumba akawika kwa nguvu, ‘Kokoikoooo!!! Nimeshindaaaa!! Mimi mfalme wenu kuanzia sasa hivi!!’
Jogoo Mwekundu alipokuwa kwenye paa akijisifu na kujitangazia ufalme, tai mkubwa aliyekuwa kwenye mti mbali mlimani, alikuja upesi kama umeme akamnyakua chwap!!! Akaenda naye kwa watoto wake kiotani wakamla Jogoo Mwekundu bila ya kujitetea!
Yule Jogoo Kijivu mwoga alitokeza polepole akatangazwa rasmi bila wasiwasi kuwa ndiye mfalme wa Kukupunda mpaka leo!Ndugu wapenzi, piga magoti usipige kifua! Waoga hufa mara nyingi, lakini wanaishi miaka mingi duniani. Jogoo mwoga ndiye hutokea kuwa mfalme!
Kwa mwoga huenda kicheko! Kuwa mnyenyekevu katika dunia hii ya Mungu!!!!!
 
Bila energy drink na kujibusti plus MAHAKAMA, TISS na POLISCCM hawa mbuzi wanakua waoga tu
20250427_154208.jpg
 
Bandiko reefu lakini lisilo na mizania ya kimantiki

Kisaikolojia watu waoga ndiyo huwa katili Sana!
 
Back
Top Bottom