CCM ni chama cha waoga wanaojifanya hawagopi

CCM ni chama cha waoga wanaojifanya hawagopi

anyway ,
vibwengo na malofa we kisiasa ndani ya chama chako endeleeni kubebana ufala wa kifikra tu, kwasabb ndicho pekee mnachoweza kufanya,

but kamwe msithubutu kuwagusa wala kuwachokokza wana CCM wanaochapa kazi zao halali kwa amani na kwa bidii sana na kulijenga Taifa lao.

ni vizuri kuelewa kwamba CCM haina haja na matapeli wala malofa wa kisiasa nchini, inajitosheleza kiuchumi, kijamii, kisiasa, kitaifa na kimataifa [emoji205]
Mkuu upo sawa kichwani kweli

Inaonekana kama haupo sawa
 
Hamna kitu jirani zetu hasa wakenya na wazambia wanashangaa kama kubadilisha jina la tume ya uchaguzi na kuiita Tume huru wakati uhalisia ni tume ileile isiyokuwa huru. Wanaona ni kama tuna matatizo ya akili hivi .
 
Ukiwasikia wanavyojitapa hadharani utadhani ni chama kilichojaa watu mahiri na jasiri, lakini ni chama kilichojaa watu waoga kupindukia.

Sheria wanazotunga nyingi zake ni kwa ajili ya kujihami na kuhami madaraka yao kiharamu.

Hizi sarakasi zote za kutokuwa na Tume huru ya uchaguzi na kung'ang'ania uchaguzi ufanyike hivyo hivyo ni kwa kuwa CCM Ina hofu ya kushindwa uchaguzi.

CCM ni waoga wa kukubali HAKI itawale!
Upo sahihi ✔️
 
Back
Top Bottom