Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Huu ndio ukweli kuhusu CCM ya leo ambayo imepoteza uhalali wa kisiasa na sasa inategemea nguvu za dola kubaki madarakani.
Uchaguzi wanavuruga na kuupora na sasa hata mikutano ya ndani ya vyama vya siasa wanaiogopa yakiwemo makongamano ya kudai katiba mpya.
Kwa mfano, CHADEMA wamekuja na hoja ya kudai katiba mpya bila kurusha jiwe wala kubeba fimbo, ila kwa uoga wa Ma-CCM, wanakabiliwa na nguvu za dola.
Kwenye uchaguzi mdogo uliofanyika juzi huko Zanzibar tumesikia jinsi walivyopora huo uchaguzi na kuwaacha ACT wakilalamika kuhujumiwa. Sasa kweli hiki ni chama cha siasa? Yaani hata kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo moja mnatumia mabavu? CCM imeshakufa.
Uchaguzi Mkuu ulioputa ndio kabisa ulikuwa wa hovyo kupindukia kiasi kwamba unaondoa uhalali wa hii serikali na Bunge lililopo.
Waikati Kikwete aliwaonya CCM wenzake juu ya hatari ya kutegemea Polisi, leo CCM wanamuhamasisha Mama Samia atumie Polisi kuwadhibiti CHADEMA ambao hawafanyi fujo ya aina yoyote zaidi ya kuongoza harakati za kudai katiba mpya.
Cha ajabu,, wao CCM wanaendelea kuandaa makongamano yao na watawatumia hao Polisi kulinda mikutano na makongamano yao. Ajabu sana!
Kwa kifupi,CCM ni chama cha watu waoga,wasiojiamini na wanaotegemea nguvu ya dola badala ya ushawishi wa kisiasa kubaki madarakani.
Tunawakumbusha tu hata Makaburi walitumia dola kutawala na kukandamiza haki za Raia weusi wa Afrika kusini lakini mwisho wa siku yaliwashinda kama ambavyo hata CCM itakuja kushindwa.