CCM ni Chama pekee Makini Duniani

CCM ni Chama pekee Makini Duniani

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Nakipenda Chama Cha Mapinduzi Kwa;
1. Sera makini (utekelezaji 100%),
2. Demokrasia,
3. Uwajibikaji Kwa walipa Kodi (wapiga kura).
images - 2023-08-09T130121.559.jpeg

NB: CCM itatawala milele na milele. Asanteni
 

Attachments

  • download (44).jpeg
    download (44).jpeg
    8 KB · Views: 13
Nakipenda Chama Cha Mapinduzi Kwa;
1. Sera makini (utekelezaji 100%),
2. Demokrasia,
3. Uwajibikaji Kwa walipa Kodi (wapiga kura).

NB: CCM itatawala milele na milele. Asanteni
Nakichukia Chama Cha Mapinduzi Kwa;
1. Sera makini (utekelezaji 100%), Hasa wizi wa raslimali za umma!
2. Demokrasia, Hasa uchaguzi unaoongoza kwa wizi wa kura
3. Uwajibikaji Kwa walipa Kodi (wapiga kura). Utekaji na mauaji ya wanaotupinga 100%

NB: CCM itatawala milele na milele. Asanteni
Laana ya milele itawatafuna CCM daima- Vifo vya viongozi wakuu vitatamalaki msipobadilika Mungu hadhihakiwi
 
Nakipenda Chama Cha Mapinduzi Kwa;
1. Sera makini (utekelezaji 100%),
2. Demokrasia,
3. Uwajibikaji Kwa walipa Kodi (wapiga kura).

NB: CCM itatawala milele na milele. Asanteni
Hadi leo taifa halina umeme wa uhakika.
Taifa halina maji safi na salama.
Taifa halina madarasa ya kutosha.
Taifa lina uhaba mkubwa wa madawati.
Taifa linakabiliwa na mfumuko mkubwa wa bei.
Taifa halina maabara za kujifunzia.
Taifa halina maktaba.

CCM imeleta laana na mauti kwa taifa
 
Kuteka watu wenye mitazamo tofauti na wao
Kuiba rasilimali za nchi na kuingia mikataba ya kifisadi

Mpaka CCM itoke madarakani sijui kama tutakuwa na wanyama huko kwenye hifadhi zetu
 
Mjerumani katawala kipindi kifupi kuliko Ccm lakin tumeyaona maendeleo makubwa sana katuletea nyie hata kufuta tu nyumba za nyasi mmeshindwa nchini
 
Nakipenda Chama Cha Mapinduzi Kwa;
1. Sera makini (utekelezaji 100%),
2. Demokrasia,
3. Uwajibikaji Kwa walipa Kodi (wapiga kura).

NB: CCM itatawala milele na milele. Asanteni
Chama makini dunian lkn hakina dira ya maendeleo 🤣🤣🤣🤣kila ataeingia analeta na vipaumbele vyake? Chama bado kipo zama za mawe. Chama makini au serikali makini ni ile inaweka dira ya maendeleo kwa angalau miaka 20 mbele kila atakae ingia aishi na hiyo dira, lkn bongo kila mmoja ana lake!!!
 
Nakipenda Chama Cha Mapinduzi Kwa;
1. Sera makini (utekelezaji 100%),
2. Demokrasia,
3. Uwajibikaji Kwa walipa Kodi (wapiga kura).

NB: CCM itatawala milele na milele. Asanteni

[emoji23]
 
Nakipenda Chama Cha Mapinduzi Kwa;
1. Sera makini (utekelezaji 100%),
2. Demokrasia,
3. Uwajibikaji Kwa walipa Kodi (wapiga kura).

NB: CCM itatawala milele na milele. Asanteni
CVM HAINA DEMOKRASIA NDANI YA CCM NA NJE YA CCM
-HUWEZI KUWA NA DEMOKRASIA KAMA
TUME YA UCHAGUZI haiko HURU ina Wajumbe wa Chama kimoja
-Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Anateuliwa na Mwenyekiti wa Ccm ambaye pia ni Mgombea
-Wakurugenzi ambao ni Wasimamizi wa Uchaguzi ni WANACHAMA wa CCM na anateuliwa na Mwenyekiti wa CCM
-Ccm UCHAGUZI wa Mwenyekiti hutolewa Fomu moja tu hiyo sio Demokrasia na ukichukuwa yatakupata ya Hayati Membe kufukuzwa Uanachama
-Katiba iliyopo ni ya Mfumo wa Chama kimoja yaani CCM na Sheria nyingi ndani ya Katiba ni za Chama kimoja na ndio maana CCM inaogopa KATIBA MPYA kwani kuna Sheria nyingi ikiwemo ya Tume ya Uchaguzi Zitabadilika.
Ukitaka DEMOKRASIA ionekane ndani ya CCM kwanza Ipatikane KATIBA MPYA na TUME HURU ya UCHAGUZI.
Kinyume chake HAKUNA DEMOKRASIA CCM ndani na NJE ya CCM
 
Back
Top Bottom