CCM ni Chama pekee Makini Duniani

CCM ni Chama pekee Makini Duniani

Haiwezi kutawala milele kwa vile milele maana yake Haina mwanzo Wala mwisho.CCM imeanzishwa 1977 hivyo lolote lenye mwanzo lina mwisho.
 
Malizia hivi ni chama makini chenye wajinha tupu,au nasema uwongo ndgu zangu
 
Nakipenda Chama Cha Mapinduzi Kwa;
1. Sera makini (utekelezaji 100%),
2. Demokrasia,
3. Uwajibikaji Kwa walipa Kodi (wapiga kura).
View attachment 2712598
NB: CCM itatawala milele na milele. Asanteni
.
0CE2A59E-F767-4EF5-ABC4-7D573F1CC5B7.jpg
 
Hata mkoloni mzungu alipataga mafala waliomuunga mkono...
Hata shetani anamapuuzi yanamuunga mkono...
Muhimu wenye akili wanapaswa kuipambania haki na kweli bila kuchoka
 
Back
Top Bottom