CCM ni Chama pekee Makini Duniani

Nakipenda Chama Cha Mapinduzi Kwa;
1. Sera makini (utekelezaji 100%),
2. Demokrasia,
3. Uwajibikaji Kwa walipa Kodi (wapiga kura).

NB: CCM itatawala milele na milele. Asanteni
Akili yako ni pamoja na majanga ya uwepo wa Ccm . Kwani hujitambui wala kujielewa chochote.
 
Nakipenda Chama Cha Mapinduzi Kwa;
1. Sera makini (utekelezaji 100%),
2. Demokrasia,
3. Uwajibikaji Kwa walipa Kodi (wapiga kura).

NB: CCM itatawala milele na milele. Asanteni
Ndio wananchi wote wanavyosema,wanakiamini CCM
1 Amani
2 Shule bure
3.Mikopo ya vyuo
4.Matibabu ya uhakika
5.Viongozi kupenda wananchi
..6.Viongozi wasikivu
7.Nk
 
Your browser is not able to display this video.

Chama cha Majizi na Matapeli!
 
mwaka 2000 nilichemsha bendera ya CCM nikanywa maji yake
 
Chama cha Wafanyakazi na Wakulima (pitia Kwa makini nembo ya Chama)
 

Attachments

  • download (44).jpeg
    8 KB · Views: 11
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…