CCM ni dhaifu sana. Ni hasara kuongozwa nao

CCM ni dhaifu sana. Ni hasara kuongozwa nao

Kwani chama ni nini kama siyo watu!? Unapokuwa na watu wachache waovu wenye nguvu kwenye chama, hao ndiyo chama chenyewe na chama kinakuwa kibaya.

CCM ni chama dhaifu na kibaya kwa kuwa kina watu wabaya na dhaifu.
Lakini pamoja na udhaifu wake kinatutawala
 
Watanzania tuna bahati mbaya sana kuongozwa na chama kama CCM.

Na bahati nzuri kwa CCM watanzania wengi wanashindwa kuitofautisha CCM na vyombo vya Dola.

Lakini hiki chama ni dhaifu Sana na nchi Iko rehani Kwa kuendelea kuwaacha CCM kuwa madarakani.
andamana ndo utajua ni dhaifu kiasi gani
 
Watanzania tuna bahati mbaya sana kuongozwa na chama kama CCM.

Na bahati nzuri kwa CCM watanzania wengi wanashindwa kuitofautisha CCM na vyombo vya Dola.

Lakini hiki chama ni dhaifu Sana na nchi Iko rehani Kwa kuendelea kuwaacha CCM kuwa madarakani.
Hakika
 
Kwani chama ni nini kama siyo watu!? Unapokuwa na watu wachache waovu wenye nguvu kwenye chama, hao ndiyo chama chenyewe na chama kinakuwa kibaya.

CCM ni chama dhaifu na kibaya kwa kuwa kina watu wabaya na dhaifu.
Chama kina katiba yake.

Chama pia kinatengeneza ilani.

Kabla ya kuanza kushutumu chama, angalia hizo nyenzo zake.
Hakika na kuambia wahuni wachache wanapita na kutoweka.
 
Kuna mijitu itaenda kufa midomo wazi, Bwana ananena nami mda huu, Tunzeni hii.
 
Kuna wahuni wachache mle chamani ndio wanaharibu. Chama hakina shida.
Kwa akili hizi CCm ina mtaji haswaaa! Ujinga ni upofu na kwa nchi ya vipofu haishangazi vipofu kuwaongoza vipofu.

Je uwepo wa upofu ndani ya CCM tuutafsiri vipi? Kwamba wenye macho hawaoni shida kuongozwa na vipofu?

Mpalakugenda ili upofu (aka ujinga) uweze kudumu ndani ya CCM je inabidi huo upofu uwe nao sifa ya kujiunga ?

Na ili upofu udumu ndani ya taifa si lazima wenye macho wapigwe vita na kutokomezwa kwa namna yoyote ile.
 
Back
Top Bottom