CCM ni kichwa ngumuu au ni jiko la kupika fitina?

CCM ni kichwa ngumuu au ni jiko la kupika fitina?

Nsanzagee

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2023
Posts
2,209
Reaction score
4,769
Leo nauliza swali fupi tu

CCM ni kichwa ngumu...au ni jiko la kupikia fitina?

Tangu mwanzo kabisa, kelele hizi za Bandari zetu na wawekezaji toka Emirate yaani DPW , tumekuwa tukikataa ubovu wa mkataba na siyo kumkataa mwekezaji, kwa nini ccm hamuelewi???

Matokeo yake sasa, CCM wamekuwa wakigeuza maoni ya wananchi kwa tafsiri za kifitina na majungu ili kuwatisha

Kama afavyo mtu na maisha mengine kuendelea, vivyo hivyo na uongozi hukoma!

Nchi hii ni yetu sote, likija baya au zuri, tunaliishi sote bila kujali itikadi zetu

Acheni fitina na majungu hasa mliomo humu Jf,
 
Kishindo Cha WAKOMA 4 kimetikisa gereza Dr SLAA is out,

Bado watu, Madeleka, Mdude na Mwambukusi!!!
 
Back
Top Bottom