GE2025 CCM ni kubwa kuliko mtu, leteni mgombea Urais mpya atakayeponyesha majeraha ya watu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Niliwahi Uliza humu, Dola Mnauhakika Rais Samia kua Mgombea, hawaingizi kwenye mtego wa matumizi ya nguvu kupitiliza??.

Ishu nzima ya Bandari Kwa Waarabu, Watanzania wakapinga katakata Kwa Hoja ,Kwa Katiba, na Kwa Mifano !!.yaan Bandari alojenga Kipenzi Cha Watanzania JP Kwa matrillion ya Pesa, yeye akaona awauzie Waarabu( Sisi hili tutaendelea kulipigia Kelele na kumkosoa miaka yote )

Akahamisha Wamasai Ngorongoro na kuwakabidhi Waarabu ( hili Nalo kelele zimejaaa mpaka Leo miaka na miaka).

Akawapa Waarabu KIA, hili Nalo tutaendelea kulipigia Kelele

Bandari ya Bagamoyo ,ilikua na mashariti magumu kiasi JPM wa watu akaipiga Chini, yeye Samia akasema ijengwe !!.

Amekabidhi Misitu na Mapori yetu Kwa Waarabu , hili Nalo tutalisemea miaka yote

Akaruhusu watu kula Kwa Urefu wa Kamba zao, tukashuhudia Ufisadi , Wizi, matumizi mabaya ya Fedha za watanzania .

Gap Kati ya Masikini na Tajiri linazidi kuongezeka na kua Kubwa, Kwa sababu tu Rais kaamua kua Rais wa Watu wachache Matajiri

Anavunja Katiba yake na kuuita 'Kijitabu tu'.

BRT akapewa Mwarabu

Mifano ni mingi ila yote Kwa yote Mifano hiyo inafikia hitimisho la KUKOSOLEWA , Sasa je Rais ana Uwezo wa kuhimili kukosolewa??? JIBU NI HAPANA !!.

Angekua na Uwezo wa Kuhimili

LISSU angekua Huru.

CHADEMA ingekua Huru .

Utekaji usingekuwepo .

Mauaji ya kisiasa yasingekuwepo .

Utawala usofata Sheria usingekuwepo.

Polisi wasingekua na jeuri namna hii.

Kwanini Nimesema, Maisha yake ya Kisiasa yatalazimisha Matukio ya Utekaji na Mauaji kuendelea ??.

Sababu ni Moja tu, Wananchi wataendelea kumkosoa Siku zote, watamkosoa Kwa yale ya DPW, Ngorongoro, KIA, MISITU, UFISADI n.k , Naye ataendelea kuwauumiza .
Kwa mfano , Suala la DPW , Ngorongoro, Katiba, Mabadiliko ya Katiba , limepelekea watu Kupotea ,kutekwa, kuuwawa .

Kwakua anawaumiza, Nao wataendelea Kumkosoa Kwa namna mbalimbali kutegemea na maumivu anayowapitisha

Mfano Suala la Watu kutekwa , Limepelekea Gwajima kusimama na kusema, hatimaye Waumini wameumizwa Kwa kufungiwa KANISA.

Ni wazi Hawa Waumini wataendelea kumkosoa Kwa kuwafungia Kanisa .

Sasa njia pekee ya kumdhibiti Muumini huyu asikukosoe baada ya kufunga Kanisa lake ni ipi??

Mtakubaliana namimi kua, Utekaji , Mauaji ya Kisiasa yataendelea yaani itakua ní Circle of Hell !!

Kiongozi anaboronga, Mwananchi anamkosoa, Kiongozi anamteka huyo Mwananchi, Anaibuka Mwananchi mwingine kupiga kelele kuhusu mwenzie aliyetekwa , Kiongozi anakasirika, anamteka Tena..... Mzunguko utaendelea hivohivo !!.

Swali ni je, Watekwa wangapi? Watauliwa Wangapi?? Mpaka lini utekaji na Mauaji yataendelea??? Na Je haya yoyote ni sababu ya Miaka mitano tu???.

Natoa rai kwa wazalendo wachache mlobakia, CCM ni kubwa kuliko mtu, leteni mgombea mpya atakayeponyesha majeraha ya watu, alete umoja wa kitaifa, nchi ipone, rasilimali za watanzania zirudi kwa watanzania !!…

Kinyume na hapo, Nchi itashihudia Utekaji, mauaji kiasi ambacho hakijawahi tokea !!.

Inaingia akilin kweli ,Wachokonozi nao unawakamata Et wamekukosea??

Inaingia akilin kweli, Kumpa LISSU kesi ya UHAINI??.
 
CCM inatumia dola kubaki madarakana.

Jambo gumu zaidi ni mihimili yote ya nchi inamsujudia mwenyekiti wa chama na chama chake.
 
Pumba tu
 
Nimeuliza hili swali mara nyingi kuwa 'hivi huko CCM hakuna mwanaume Mtanganyika anayeweza kuwa Rais wa Tanganyika hadi mnatuletea Mzanzibari aendelee kuitawala Tanganyika? ' Sijawahi kupata jibu.
CCM wanatukosea sana watanganyika, ngoja tusubiri JW nasikia wao Kuna uzalendo Fulani wamepanga kufanya.
 
Hao JW wakifanya ivyo watakuwa na shida sana kwanini wawe na urafiki na CCM kwani hakuna chama kingine chenye watu makini Kuna ulazima gani nchi hii kutawaliwa na CCM?
 
Mikopo
Niliwahi Uliza humu, Dola Mnauhakika Rais Samia kua Mgombea, hawaingizi kwenye mtego wa matumizi ya nguvu kupitiliza??.

Ishu nzima ya Bandari Kwa Waarabu, Watanzania wakapinga katakata Kwa Hoja ,Kwa Katiba, na Kwa Mifano !!.yaan Bandari alojenga Kipenzi Cha Watanzania JP Kwa matrillion ya Pesa, yeye akaona awauzie Waarabu( Sisi hili tutaendelea kulipigia Kelele na kumkosoa miaka yote )

Akahamisha Wamasai Ngorongoro na kuwakabidhi Waarabu ( hili Nalo kelele zimejaaa mpaka Leo miaka na miaka).

Akawapa Waarabu KIA, hili Nalo tutaendelea kulipigia Kelele

Bandari ya Bagamoyo ,ilikua na mashariti magumu kiasi JPM wa watu akaipiga Chini, yeye Samia akasema ijengwe !!.

Amekabidhi Misitu na Mapori yetu Kwa Waarabu , hili Nalo tutalisemea miaka yote

Akaruhusu watu kula Kwa Urefu wa Kamba zao, tukashuhudia Ufisadi , Wizi, matumizi mabaya ya Fedha za watanzania .

Gap Kati ya Masikini na Tajiri linazidi kuongezeka na kua Kubwa, Kwa sababu tu Rais kaamua kua Rais wa Watu wachache Matajiri

Anavunja Katiba yake na kuuita 'Kijitabu tu'.

BRT akapewa Mwarabu

Mifano ni mingi ila yote Kwa yote Mifano hiyo inafikia hitimisho la KUKOSOLEWA , Sasa je Rais ana Uwezo wa kuhimili kukosolewa??? JIBU NI HAPANA !!.

Angekua na Uwezo wa Kuhimili

LISSU angekua Huru.

CHADEMA ingekua Huru .

Utekaji usingekuwepo .

Mauaji ya kisiasa yasingekuwepo .

Utawala usofata Sheria usingekuwepo.

Polisi wasingekua na jeuri namna hii.

Kwanini Nimesema, Maisha yake ya Kisiasa yatalazimisha Matukio ya Utekaji na Mauaji kuendelea ??.

Sababu ni Moja tu, Wananchi wataendelea kumkosoa Siku zote, watamkosoa Kwa yale ya DPW, Ngorongoro, KIA, MISITU, UFISADI n.k , Naye ataendelea kuwauumiza .
Kwa mfano , Suala la DPW , Ngorongoro, Katiba, Mabadiliko ya Katiba , limepelekea watu Kupotea ,kutekwa, kuuwawa .

Kwakua anawaumiza, Nao wataendelea Kumkosoa Kwa namna mbalimbali kutegemea na maumivu anayowapitisha

Mfano Suala la Watu kutekwa , Limepelekea Gwajima kusimama na kusema, hatimaye Waumini wameumizwa Kwa kufungiwa KANISA.

Ni wazi Hawa Waumini wataendelea kumkosoa Kwa kuwafungia Kanisa .

Sasa njia pekee ya kumdhibiti Muumini huyu asikukosoe baada ya kufunga Kanisa lake ni ipi??

Mtakubaliana namimi kua, Utekaji , Mauaji ya Kisiasa yataendelea yaani itakua ní Circle of Hell !!

Kiongozi anaboronga, Mwananchi anamkosoa, Kiongozi anamteka huyo Mwananchi, Anaibuka Mwananchi mwingine kupiga kelele kuhusu mwenzie aliyetekwa , Kiongozi anakasirika, anamteka Tena..... Mzunguko utaendelea hivohivo !!.

Swali ni je, Watekwa wangapi? Watauliwa Wangapi?? Mpaka lini utekaji na Mauaji yataendelea??? Na Je haya yoyote ni sababu ya Miaka mitano tu???.

Natoa rai kwa wazalendo wachache mlobakia, CCM ni kubwa kuliko mtu, leteni mgombea mpya atakayeponyesha majeraha ya watu, alete umoja wa kitaifa, nchi ipone, rasilimali za watanzania zirudi kwa watanzania !!…

Kinyume na hapo, Nchi itashihudia Utekaji, mauaji kiasi ambacho hakijawahi tokea !!.

Inaingia akilin kweli ,Wachokonozi nao unawakamata Et wamekukosea??

Inaingia akilin kweli, Kumpa LISSU kesi ya UHAINI??.
trillions 48 kwa miezi 48 na hakuna mradi wowote mkubwa alioanzisha. Zanzibar kuizidi Tanganyika kwa kasi. Lo una hoja
 
Write your reply...lissu anapaswa kunyongwa ili nchi ipone hatuwezi kua na likiongozi likibaraka lionge lilevi lifitinishi na lizushi linaloleta mtafaruku na mgawanyiko kwenye jamii
 
Back
Top Bottom