CCM ni mfumo,mfumo unajengwa kwa zaidi ya Miaka 50..upinzani anzeni chini msikabie juu

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
CCM bado itakaa madarakani kwa Miaka mingine zaidi ya 50 kwa sababu ya mfumo uliosukwa.imagine kuna kipindi kile chama kimoja siasa mpka jeshini wanajeshi wakiimba kidumu chama cha mapinduzi kidumu.

Cha Kufanya sasa kwa mfano chadema wangejiwekea malengo ya muda mrefu kama ifuatavyo..

2025-2028 kununua kiwanja kila kijiji nchini kwa mchango ya wanachama

2028-2033 kuongea na vyama rafiki huko ulaya ili visaidie kujenga angalau Ka ofisi cha chumba kimoja kila kijiji katika vile viwanja.

2033-2040 kuhakikisha kila ofisi inakuwa na kiongoz anayelipwa posho

Taratibu nafasi za uongozi ndani ya chama zitagombaniwa na vijana hivyo wanachama wataongezeka kipindi hiko pia kizazi cha Wazee hawa wa CCM kitakuwa kimekufa wengi watakuwa NI vijana wa 90 na 2000..

Tofauti na hapo aisee CCM hamuitoi mpka 2100..we angalia mfano mdogo tu mbowe kaitisha maandamano kaandamana peke yake tena magomeni mjini Kati.
 
Dawa ya CCM na ufedhuli wao ni Reforms za Katiba na Sheria za Uchaguzi tu. Katiba inayoondoa umungu wa Wanasiasa na kuipa mifumo nguvu.

Hapa ndo mzizi wa fitna ulipo..

Ndo mana Chadema hawataki ufalme wala madaraka wamejikita hapo tu " Reforms"

No Reforms No Election ✊️ ✌️
 
CCM bado itakaa madarakani kwa Miaka mingine zaidi ya 50 kwa sababu ya mfumo uliosukwa.imagine kuna kipindi kile chama kimoja siasa mpka jeshini wanajeshi wakiimba kidumu chama cha mapinduzi kidumu.

Cha Kufanya sasa kwa mfano chadema wangejiwekea malengo ya muda mrefu kama ifuatavyo..

2025-2028 kununua kiwanja kila kijiji nchini kwa mchango ya wanachama

2028-2033 kuongea na vyama rafiki huko ulaya ili visaidie kujenga angalau Ka ofisi cha chumba kimoja kila kijiji katika vile viwanja.

2033-2040 kuhakikisha kila ofisi inakuwa na kiongoz anayelipwa posho

Taratibu nafasi za uongozi ndani ya chama zitagombaniwa na vijana hivyo wanachama wataongezeka kipindi hiko pia kizazi cha Wazee hawa wa CCM kitakuwa kimekufa wengi watakuwa NI vijana wa 90 na 2000..

Tofauti na hapo aisee CCM hamuitoi mpka 2100..we angalia mfano mdogo tu mbowe kaitisha maandamano kaandamana peke yake tena magomeni mjini Kati.
Mfumo wa dola ila sio siasa. CCM siasa ilishatushinda zamani sana. Hatuna ushawishi wowote wa kisiasa. Hata mikutano mpaka tubebane kwenye malori tuongeze na wasanii. CCM wenzangu tujitafakari
 
KUNA MAENEO FULANI NILIPITA NIKAAMBIWA HYO NDO OFISI YA CHADEMA,.AISEE BANDA LA MBUZI LINAAFADHARI KUULIZA WAKASEMA HELA WALIPATA VIONGOZI WA CHAMA HCHO WAKAZIPIGA..NIKAJIULIZA HV NDO HAWA KILA SIKU WANASEMA CCM MAFISA?CHADEMA IMARISHENI OFISI ZENU ZA KATA..KUNA KATA ZINGINE HAKUNA OFISI ZA UNAJIULIZA SHUGHULI ZA KIOFISI WANAZIFANYIA WAPI KAMA SIO UHUNI..MNAPOSEMA NO REFORMS NDO ELECTION HEBU JICHUNGUZENI KWANZA MMEKAMILIKA? SIPO KUTETEA CHAMA CHOCHOTE HATA VYAMA VINGINE VIKIINGIA NDANI YA 18 NATOA MADHAIFU.
 
Kuiondoa ccm madarakani ilikuwa kazi ndogo sana tatizo upinzani wa tz ni ccm b ....watu waliopo upinzani wana akili finyu kama waliopo ccm ....
Viongozi wa kamati kuu hawana uwezo wa kuiondoa ccm madarakani kwasabu ccm ,imeshikwa na nguvu kubwa nyuma yake , wanoweza kuiondoa ni nguvu ya uma Kwa kushirikiana nchi mzima siyo dar es salaam au mwanza peke yake
 
CCM bado itakaa madarakani kwa Miaka mingine zaidi ya 50 kwa sababu ya mfumo uliosukwa.imagine kuna kipindi kile chama kimoja siasa mpka jeshini wanajeshi wakiimba kidumu chama cha mapinduzi kidumu.

Cha Kufanya sasa kwa mfano chadema wangejiwekea malengo ya muda mrefu kama ifuatavyo..

2025-2028 kununua kiwanja kila kijiji nchini kwa mchango ya wanachama

2028-2033 kuongea na vyama rafiki huko ulaya ili visaidie kujenga angalau Ka ofisi cha chumba kimoja kila kijiji katika vile viwanja.

2033-2040 kuhakikisha kila ofisi inakuwa na kiongoz anayelipwa posho

Taratibu nafasi za uongozi ndani ya chama zitagombaniwa na vijana hivyo wanachama wataongezeka kipindi hiko pia kizazi cha Wazee hawa wa CCM kitakuwa kimekufa wengi watakuwa NI vijana wa 90 na 2000..

Tofauti na hapo aisee CCM hamuitoi mpka 2100..we angalia mfano mdogo tu mbowe kaitisha maandamano kaandamana peke yake tena magomeni mjini Kati.
Kwasababu unapata pata viposho vya RUWASA unafikiri dunia hii umemaliza.

Mfumo mzuri wa uchaguzi, siyo kwaajili ya CHADEMA.

Mfumo mzuri wa uchaguzi ni kwaajili ya watu na amani.

Huko mbeleni watu wakiona kura hazina maana, wataingia msituni, na ndio utakuwa mwisho wa nchi hii.

Muda huo watoto wa Mwigulu ndio mawaziri, wanateka watu wanatupa mtoni.

20250624_091819.jpg
 
KUNA MAENEO FULANI NILIPITA NIKAAMBIWA HYO NDO OFISI YA CHADEMA,.AISEE BANDA LA MBUZI LINAAFADHARI KUULIZA WAKASEMA HELA WALIPATA VIONGOZI WA CHAMA HCHO WAKAZIPIGA..NIKAJIULIZA HV NDO HAWA KILA SIKU WANASEMA CCM MAFISA?CHADEMA IMARISHENI OFISI ZENU ZA KATA..KUNA KATA ZINGINE HAKUNA OFISI ZA UNAJIULIZA SHUGHULI ZA KIOFISI WANAZIFANYIA WAPI KAMA SIO UHUNI..MNAPOSEMA NO REFORMS NDO ELECTION HEBU JICHUNGUZENI KWANZA MMEKAMILIKA? SIPO KUTETEA CHAMA CHOCHOTE HATA VYAMA VINGINE VIKIINGIA NDANI YA 18 NATOA MADHAIFU.
MONEY IS NOT EVERYTHING 😎
 
Utakuwa hujawai kusoma historia ya Institutional Revolutionary Party(PRI) ya Mexico, ilikuwa ni zaidi ya CCM ila haikufikisha miaka 100 madarakani.
 
CCM bado itakaa madarakani kwa Miaka mingine zaidi ya 50 kwa sababu ya mfumo uliosukwa.imagine kuna kipindi kile chama kimoja siasa mpka jeshini wanajeshi wakiimba kidumu chama cha mapinduzi kidumu.

Cha Kufanya sasa kwa mfano chadema wangejiwekea malengo ya muda mrefu kama ifuatavyo..

2025-2028 kununua kiwanja kila kijiji nchini kwa mchango ya wanachama

2028-2033 kuongea na vyama rafiki huko ulaya ili visaidie kujenga angalau Ka ofisi cha chumba kimoja kila kijiji katika vile viwanja.

2033-2040 kuhakikisha kila ofisi inakuwa na kiongoz anayelipwa posho

Taratibu nafasi za uongozi ndani ya chama zitagombaniwa na vijana hivyo wanachama wataongezeka kipindi hiko pia kizazi cha Wazee hawa wa CCM kitakuwa kimekufa wengi watakuwa NI vijana wa 90 na 2000..

Tofauti na hapo aisee CCM hamuitoi mpka 2100..we angalia mfano mdogo tu mbowe kaitisha maandamano kaandamana peke yake tena magomeni mjini Kati.
Sema police wana mfumo sio CCM hawalishajifia
 
Back
Top Bottom