ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Mfumo wa dola ila sio siasa. CCM siasa ilishatushinda zamani sana. Hatuna ushawishi wowote wa kisiasa. Hata mikutano mpaka tubebane kwenye malori tuongeze na wasanii. CCM wenzangu tujitafakariCCM bado itakaa madarakani kwa Miaka mingine zaidi ya 50 kwa sababu ya mfumo uliosukwa.imagine kuna kipindi kile chama kimoja siasa mpka jeshini wanajeshi wakiimba kidumu chama cha mapinduzi kidumu.
Cha Kufanya sasa kwa mfano chadema wangejiwekea malengo ya muda mrefu kama ifuatavyo..
2025-2028 kununua kiwanja kila kijiji nchini kwa mchango ya wanachama
2028-2033 kuongea na vyama rafiki huko ulaya ili visaidie kujenga angalau Ka ofisi cha chumba kimoja kila kijiji katika vile viwanja.
2033-2040 kuhakikisha kila ofisi inakuwa na kiongoz anayelipwa posho
Taratibu nafasi za uongozi ndani ya chama zitagombaniwa na vijana hivyo wanachama wataongezeka kipindi hiko pia kizazi cha Wazee hawa wa CCM kitakuwa kimekufa wengi watakuwa NI vijana wa 90 na 2000..
Tofauti na hapo aisee CCM hamuitoi mpka 2100..we angalia mfano mdogo tu mbowe kaitisha maandamano kaandamana peke yake tena magomeni mjini Kati.
Viongozi wa kamati kuu hawana uwezo wa kuiondoa ccm madarakani kwasabu ccm ,imeshikwa na nguvu kubwa nyuma yake , wanoweza kuiondoa ni nguvu ya uma Kwa kushirikiana nchi mzima siyo dar es salaam au mwanza peke yakeKuiondoa ccm madarakani ilikuwa kazi ndogo sana tatizo upinzani wa tz ni ccm b ....watu waliopo upinzani wana akili finyu kama waliopo ccm ....
Kwasababu unapata pata viposho vya RUWASA unafikiri dunia hii umemaliza.CCM bado itakaa madarakani kwa Miaka mingine zaidi ya 50 kwa sababu ya mfumo uliosukwa.imagine kuna kipindi kile chama kimoja siasa mpka jeshini wanajeshi wakiimba kidumu chama cha mapinduzi kidumu.
Cha Kufanya sasa kwa mfano chadema wangejiwekea malengo ya muda mrefu kama ifuatavyo..
2025-2028 kununua kiwanja kila kijiji nchini kwa mchango ya wanachama
2028-2033 kuongea na vyama rafiki huko ulaya ili visaidie kujenga angalau Ka ofisi cha chumba kimoja kila kijiji katika vile viwanja.
2033-2040 kuhakikisha kila ofisi inakuwa na kiongoz anayelipwa posho
Taratibu nafasi za uongozi ndani ya chama zitagombaniwa na vijana hivyo wanachama wataongezeka kipindi hiko pia kizazi cha Wazee hawa wa CCM kitakuwa kimekufa wengi watakuwa NI vijana wa 90 na 2000..
Tofauti na hapo aisee CCM hamuitoi mpka 2100..we angalia mfano mdogo tu mbowe kaitisha maandamano kaandamana peke yake tena magomeni mjini Kati.
MONEY IS NOT EVERYTHING 😎KUNA MAENEO FULANI NILIPITA NIKAAMBIWA HYO NDO OFISI YA CHADEMA,.AISEE BANDA LA MBUZI LINAAFADHARI KUULIZA WAKASEMA HELA WALIPATA VIONGOZI WA CHAMA HCHO WAKAZIPIGA..NIKAJIULIZA HV NDO HAWA KILA SIKU WANASEMA CCM MAFISA?CHADEMA IMARISHENI OFISI ZENU ZA KATA..KUNA KATA ZINGINE HAKUNA OFISI ZA UNAJIULIZA SHUGHULI ZA KIOFISI WANAZIFANYIA WAPI KAMA SIO UHUNI..MNAPOSEMA NO REFORMS NDO ELECTION HEBU JICHUNGUZENI KWANZA MMEKAMILIKA? SIPO KUTETEA CHAMA CHOCHOTE HATA VYAMA VINGINE VIKIINGIA NDANI YA 18 NATOA MADHAIFU.
Sema police wana mfumo sio CCM hawalishajifiaCCM bado itakaa madarakani kwa Miaka mingine zaidi ya 50 kwa sababu ya mfumo uliosukwa.imagine kuna kipindi kile chama kimoja siasa mpka jeshini wanajeshi wakiimba kidumu chama cha mapinduzi kidumu.