CCM ni vigeugeu sana ni kipi mnashida kwa CHADEMA kama mnapendwa wananchi

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Kuna mambo ya kitoto sana ndani ya utawala wa CCM.
Bado wanasiasa zile za maisha ya ujamaa miaka ya nyerere.

Mikutano yao uwezi kusikia wanajidili mustakabali wa taifa wala maono wao kutwa nzima kuiongelea chadema na wapinzani.

Uwezi kuona wanafatilia CCm ili kurekebisha mapungufu yao wao kutwa nzima kufatilia CHADEMA utazani ndio chama cha chao kipo huko.

Bado kuna siasa za CCM zile kupanic mbele ya watu yani hakuna kuhoji wa kupingiwa.

Visasi vya kuhoji ni vingi sana wakijificha nyuma ya vyombo vya dola na mahakama.

CCM kuna kamtindo kila anayejitoa akili upewa haadi ya cheo ijalishi akili zako.

Sasa leo hii unaona hakuna kiongozi yoyote aliyopo ndani ya ccm sababu ya kutengeneza cheo chengine.
 
Sasa leo hii unaona hakuna kiongozi yoyote aliyopo ndani ya ccm hakawa na akili sawa sababu ya kutengeneza cheo chengine.

Unaweza kukuta huyu ni Tlaatlaah
Hapa JF tunabishana naye.
View attachment 3357878
Tlaatlaaah popote ulipo fanya kama unajikuna tukuone tafadhali?
 
Tanazania ni nchi ya vyama vingi,
Iko fursa na nafasi kwa vyama vingine kujadili hayo yanayokupa mihemko na kukufanya uropoke gentleman.

sio Lazima CCM ifanye mambo yote kumfurahisha kila mTanzania, but kila mwanchi Lazima apate maendeleo, whether ana mihemko au hana, kwasabb maendeleo hayana chama 🐒
 
Sasa JF mnapangia watu picha za kuweka kwani huyu sio Tlaatlaah
IMG_1516.jpeg
 
Una wajibu wowote uchawa zaidi ya kenge wa bungeni
Calm down gentleman,
hata uwe na mihemko au makasiriko ya aina gani, but mwisho wa siku serikali sikivu ya CCM chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan ndio inayokuwezesha kufanya kazi na majukumu yako kwa amani na salama kuelekea uchaguzi mkuu wa kihistoria October 2025🐒
 
Umeripot nini JF wafute picha yako au sija weka filter za instagram upate muonekano kama wa sabaya au makonda.
IMG_1516.jpeg
 
Gentleman,
picha si muhimu sana but ni vizuri kuzingatia maelezo ya msingi, na hiyo ndio itakusaiadia na kukuongezea uelewa na kufahamu wa kutosha juu ya masuala haya ya siasa nchini 🐒
Maongezi yake na wewe hapa JF ukipima DNA za Internet ni asilimia 99.9
 
Umeripot nini JF wafute picha yako au sija weka filter za instagram upate muonekano kama wa sabaya au makonda.
View attachment 3357912
bahati mbaya,
mimi kama kiongozi makini wa wananchi, huwa nadeal na masuala ya msingi tu na sina muda wa kudeal na mtu au picha zake gentleman 🐒
 
Kuna mambo ya kitoto sana ndani ya utawala wa CCM.
Bado wanasiasa zile za maisha ya ujamaa miaka ya nyerere.

Mikutano yao uwezi kusikia wanajidili mustakabali wa taifa wala maono wao kutwa nzima kuiongelea chadema na wapinzani.

Uwezi kuona wanafatilia CCm ili kurekebisha mapungufu yao wao kutwa nzima kufatilia CHADEMA utazani ndio chama cha chao kipo huko.

Bado kuna siasa za CCM zile kupanic mbele ya watu yani hakuna kuhoji wa kupingiwa.

Visasi vya kuhoji ni vingi sana wakijificha nyuma ya vyombo vya dola na mahakama.

CCM kuna kamtindo kila anayejitoa akili upewa haadi ya cheo ijalishi akili zako.

Sasa leo hii unaona hakuna kiongozi yoyote aliyopo ndani ya ccm sababu ya kutengeneza cheo chengine.
CHADEMA wao huongelea ZANU-PF?
 
Maongezi yake na wewe hapa JF ukipima DNA za Internet ni asilimia 99.9
ni muhimu kua huru na mwenye haki ya kutoa maoni na mtazamo juu ya jambo fulani kwa hekima na busara, na hiyo ni haki yako gentleman,

kinyume na hapo inaweza kua ni useless 🐒
 
Jibu swali
ni wewe au ?
hapajaulizwa swali hata moja kwenye mjadala huu gentleman, ispokua ni maoni na mitazamo huru tofauti ya wadau tu.

so,
acha kufanya mazoezi ya upotoshaji 🐒
 
Tlaatlaah yipo patrol 24hrs hadi uchaguzi upite. Anaroom yake pale lumumba hawaruhusiwi kutoka. Baada ya uchaguzi lazima atoke na uzito kilo 200
Aisee sio kisarawe anacheka na wana mkuranga kwa kingereza chake cha ugoko wa kuku
 
Back
Top Bottom