Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Kuna mambo ya kitoto sana ndani ya utawala wa CCM.
Bado wanasiasa zile za maisha ya ujamaa miaka ya nyerere.
Mikutano yao uwezi kusikia wanajidili mustakabali wa taifa wala maono wao kutwa nzima kuiongelea chadema na wapinzani.
Uwezi kuona wanafatilia CCm ili kurekebisha mapungufu yao wao kutwa nzima kufatilia CHADEMA utazani ndio chama cha chao kipo huko.
Bado kuna siasa za CCM zile kupanic mbele ya watu yani hakuna kuhoji wa kupingiwa.
Visasi vya kuhoji ni vingi sana wakijificha nyuma ya vyombo vya dola na mahakama.
CCM kuna kamtindo kila anayejitoa akili upewa haadi ya cheo ijalishi akili zako.
Sasa leo hii unaona hakuna kiongozi yoyote aliyopo ndani ya ccm sababu ya kutengeneza cheo chengine.