CCM ni zaidi ya chama, Hayati Magufuli na sasa Rais Samia tunawaonea tu

CCM ni zaidi ya chama, Hayati Magufuli na sasa Rais Samia tunawaonea tu

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Ukimtoa Samia, unapata Rais Mwenye nafuu kidogo labda hata Majaliwa. Pia inatuma message kwa viongozi wanaofuata hawawezi kuchezea maisha ya watu. Mwisho wa sikku unaweeza kupata katiba mpya..
 
Mambo makubwa huwa yanaanza madogo madogo kwa vile wanapuuzia basi hujikuta wamechelewa na mambo yanakuwa worse...

Bora mabadiliko ya damu kwenda kwenye uhuru, amani na ustawi wa jamii kuliko kuendelea kuishi hivi kama tupo kuzimu.

Kuna siku damu za azori, benisaa8 n.k zitaandikwa kwa heshima. .

Usipo ziba ufa utajenga ukuta
 
Kumtoa Rais Samia madarakani na kuiacha CCM madarakani ni kazi bure .

Mambo mengi yanayoendelea ni matokeo ya mifumo iliyoweka na CCM na awamu zote haya mambo huwepo japo yanapishana kiwango...
mzigo mzito mpe myamwezi.

CCM ni myamwezi mizigo yote anabeba na kuifikisha kwa uaminifu mkubwa, salama popote pale iendako hususani kwa wananchi.

unadhani yule mwenyekiti atakua alikunywa kinywaji gani wakati anatamka hayo?🐒
 
Kumtoa Rais Samia madarakani na kuiacha CCM madarakani ni kazi bure .

Mambo mengi yanayoendelea ni matokeo ya mifumo iliyoweka na CCM na awamu zote haya mambo huwepo japo yanapishana kiwango

Na ili mtu abakie kwenye cheo lazima aingie kwenye mfumo .

Ni bora Upinzani kuangalia namna ya kuitoa CCM madarakani kuliko kumtoa Rais Samia .
Option iliyobakia ni mapinduzi ya kijeshi tu
 
Sema wananchi waangalie namna ya kuitoa ccm upinzani hawawez kamwe

Ndio ukweli, Gen Z Kenya waliishinikiza serikali yao kuondoa sheria kandamizi kama kodi.

Tanzania tuna sheria kandamizi za kuteka, kutesa, kuua tumewapa serikali mamlaka yote kututeka, kututesa na kutuua kwa mujibu wa sheria na tunafikiri tutabaki salama.
 
Ndio ukweli, Gen Z Kenya waliishikiza serikali kuondoa sheria kandamizi kama kodi. Tanzania tuna sheria kandamizi za kuteka, kutesa, kuua tumewapa serikali mamlala yote kututeka, kututesa na kutuua kwa mujibu wa sheria na tunafikiri tutabaki salama.
Sisi waoga na bado hatujui haki zetu.
 
Kumtoa Rais Samia madarakani na kuiacha CCM madarakani ni kazi bure..
Nimewahi kuandika Mara nyingi sana hapa mtandaoni kwamba kiini Cha kuwepo kwa matatizo mengi yaliyopo hapa Tanzania ni kutokana na kuwepo kwa Katiba ya nchi ambayo ni mbaya sana na isiyofaa, sambamba na kuwepo kwa Sheria mbaya sana ambazo ni kandamizi. Ila Watu wengi wanaonekana bado hawautambui ukweli huu.
 
Nimewahi kuandika Mara nyingi sana hapa mtandaoni kwamba kiini Cha kuwepo kwa matatizo mengi yaliyopo hapa Tanzania ni kutokana na kuwepo kwa Katiba ya nchi ambayo ni mbaya sana na isiyofaa, sambamba na kuwepo kwa Sheria mbaya sana ambazo ni kandamizi. Ila Watu wengi wanaonekana bado hawajitambui ukweli huu.
Uko sahihi, watu wanadhani tatizo ni mtu
 
Kumtoa Rais Samia madarakani na kuiacha CCM madarakani ni kazi bure.

Mambo mengi yanayoendelea ni matokeo ya mifumo iliyoweka na CCM na awamu zote haya mambo huwepo japo yanapishana kiwango

Na ili mtu abakie kwenye cheo lazima aingie kwenye mfumo .

Ni bora Upinzani kuangalia namna ya kuitoa CCM madarakani kuliko kumtoa Rais Samia .

Soma Pia: Mbowe: Mtu wa kwanza kuwajibishwa kwenye matukio ya utekaji ni Rais Samia. CHADEMA kuanza kampeni ya 'Samia Must Go'
Japokuwa bado sijajua bayana hiyo kampeni ya Samia Must Go itafanyikaje, lakini Nina uhakika kabisa kwamba hata kama Rais Samia ataamua kuachia ngazi leo hii bado vitendo viovu vya utekaji Watu, utesaji na Mauaji vitaendelea kuwepo. Kwa jinsi ninavyofahamu, kiini Cha kuwepo kwa matatizo haya siyo Samia, Bali chanzo halisi Cha kuwepo kwa matatizo haya ni kutokana na kuwepo kwa Katiba ya nchi ambayo ni mbaya sana, pamoja na Sheria zingine ambazo pia ni mbaya au Sheria kandamizi,
Hivyo basi, kitu sahihi kabisa kinachopaswa kuondoka hapa nchini Tanzania ni Katiba iliyopo pamoja na Sheria kandamizi zilizopo. Katiba iliyopo ikiondoka, na Sheria kandamizi zilizopo zikiondoka, automatically hata mamlaka ya kuteka Watu waliyonayo hao Watekaji pia yataondoka, hatimaye sasa Tanzania itakuwa ni mahali salama na pazuri pa kuishi, Wananchi wote wa nchi hii ya Tanzania tutakuwa tumejikomboa kutoka Jehanamu tulipo hivi sasa na kwenda peponi katika nchi ya ahadi ya asali na maziwa.
 
Kumtoa Rais Samia madarakani na kuiacha CCM madarakani ni kazi bure.

Mambo mengi yanayoendelea ni matokeo ya mifumo iliyoweka na CCM na awamu zote haya mambo huwepo japo yanapishana kiwango

Na ili mtu abakie kwenye cheo lazima aingie kwenye mfumo .

Ni bora Upinzani kuangalia namna ya kuitoa CCM madarakani kuliko kumtoa Rais Samia .

Soma Pia: Mbowe: Mtu wa kwanza kuwajibishwa kwenye matukio ya utekaji ni Rais Samia. CHADEMA kuanza kampeni ya 'Samia Must Go'
Jamii ndiyo inaweza kuitoa CCM siyo chama cha siasa, ni kweli mimi naupinga kwa dhati udhalimu.

Mimi kwa muda mrefu nimekuwa nafuatilia kuhusu, changamoto, (uncertainty), majanga na binadamu husababisha changamoto.

Binadamu huchangia kwa asilimia kubwa zaidi, binadamu hujisabanishia Changamoto kwa uzembe uvivu ujinga na ushamba anaweza kusabishiwa na mtu mwingine kwa makusudi ama kwa kutokujua,

Jamii zetu za Afrika, (Tanzania), tumeandaliwa kuto kuhoji na tatizo la kuhoji linaanza kwenye ngazi ya familia kuna vitu ukivihoji utaambiwa kama umekua uondoke, hii tabia ya kuto toa majibu yaliyo sahihi mtu akihojiwa, imebebwa na jamii kwenye ngazi zote za maisha ya mwanadamu.

The assimilation of the aforementioned character, resulted to ostracism and human herding, (unyumbu), human herding in politics is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of flattering, working towards group objectives and hypocrite, well defined as manipulation
 
Back
Top Bottom