Jamii ndiyo inaweza kuitoa CCM siyo chama cha siasa, ni kweli mimi naupinga kwa dhati udhalimu.
Mimi kwa muda mrefu nimekuwa nafuatilia kuhusu, changamoto, (uncertainty), majanga na binadamu husababisha changamoto.
Binadamu huchangia kwa asilimia kubwa zaidi, binadamu hujisabanishia Changamoto kwa uzembe uvivu ujinga na ushamba anaweza kusabishiwa na mtu mwingine kwa makusudi ama kwa kutokujua,
Jamii zetu za Afrika, (Tanzania), tumeandaliwa kuto kuhoji na tatizo la kuhoji linaanza kwenye ngazi ya familia kuna vitu ukivihoji utaambiwa kama umekua uondoke, hii tabia ya kuto toa majibu yaliyo sahihi mtu akihojiwa, imebebwa na jamii kwenye ngazi zote za maisha ya mwanadamu.
The assimilation of the aforementioned character, resulted to ostracism and human herding, (unyumbu), human herding in politics is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of flattering, working towards group objectives and hypocrite, well defined as manipulatio