Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
mzigo mzito mpe myamwezi.Kumtoa Rais Samia madarakani na kuiacha CCM madarakani ni kazi bure .
Mambo mengi yanayoendelea ni matokeo ya mifumo iliyoweka na CCM na awamu zote haya mambo huwepo japo yanapishana kiwango...
Ficha ujinga wakomzigo mzito mpe myamwezi...
CCM ni myamwezi mizigo yote anabeba na kuifikisha kwa uaminifu mkubwa, salama popote pale iendako hususani kwa wananchi....
unadhani yule mwenyekiti atakua alikunywa kinywaji gani wakati anatamka hayo?🐒
mwerevu umejawa na makasiriko au mihemko tu?🐒Ficha ujinga wako
Hata Jf kuna chawa kumbemwerevu umejawa na makasiriko au mihemko tu?🐒
Sema wananchi waangalie namna ya kuitoa ccm upinzani hawawez kamweKumtoa Rais Samia madarakani na kuiacha CCM madarakani ni kazi bure...
Option iliyobakia ni mapinduzi ya kijeshi tuKumtoa Rais Samia madarakani na kuiacha CCM madarakani ni kazi bure .
Mambo mengi yanayoendelea ni matokeo ya mifumo iliyoweka na CCM na awamu zote haya mambo huwepo japo yanapishana kiwango
Na ili mtu abakie kwenye cheo lazima aingie kwenye mfumo .
Ni bora Upinzani kuangalia namna ya kuitoa CCM madarakani kuliko kumtoa Rais Samia .
Sema wananchi waangalie namna ya kuitoa ccm upinzani hawawez kamwe
Sisi waoga na bado hatujui haki zetu.Ndio ukweli, Gen Z Kenya waliishikiza serikali kuondoa sheria kandamizi kama kodi. Tanzania tuna sheria kandamizi za kuteka, kutesa, kuua tumewapa serikali mamlala yote kututeka, kututesa na kutuua kwa mujibu wa sheria na tunafikiri tutabaki salama.
mihemko inabana right left and center 🤣Hata Jf kuna chawa kumbe
Ipo tena ni mijitu mizima isiyokuwa na haya. Mingi ni ile inayojibanza pale Lumumba ikitega chochote kitu. Inatetea upumbavu, hata haya haina, njaa mbaya sana. Inaweza kukutoa utu wako ndiyo imejaa humu.Hata Jf kuna chawa kumbe
Nimewahi kuandika Mara nyingi sana hapa mtandaoni kwamba kiini Cha kuwepo kwa matatizo mengi yaliyopo hapa Tanzania ni kutokana na kuwepo kwa Katiba ya nchi ambayo ni mbaya sana na isiyofaa, sambamba na kuwepo kwa Sheria mbaya sana ambazo ni kandamizi. Ila Watu wengi wanaonekana bado hawautambui ukweli huu.Kumtoa Rais Samia madarakani na kuiacha CCM madarakani ni kazi bure..
Uko sahihi, watu wanadhani tatizo ni mtuNimewahi kuandika Mara nyingi sana hapa mtandaoni kwamba kiini Cha kuwepo kwa matatizo mengi yaliyopo hapa Tanzania ni kutokana na kuwepo kwa Katiba ya nchi ambayo ni mbaya sana na isiyofaa, sambamba na kuwepo kwa Sheria mbaya sana ambazo ni kandamizi. Ila Watu wengi wanaonekana bado hawajitambui ukweli huu.
Basi hatariIpo tena ni mijitu mizima isiyokuwa na haya. Mingi ni ile inayojibanza pale Lumumba ikitega chochote kitu. Inatetea upumbavu, hata haya haina, njaa mbaya sana. Inaweza kukutoa utu wako ndiyo imejaa humu.
Japokuwa bado sijajua bayana hiyo kampeni ya Samia Must Go itafanyikaje, lakini Nina uhakika kabisa kwamba hata kama Rais Samia ataamua kuachia ngazi leo hii bado vitendo viovu vya utekaji Watu, utesaji na Mauaji vitaendelea kuwepo. Kwa jinsi ninavyofahamu, kiini Cha kuwepo kwa matatizo haya siyo Samia, Bali chanzo halisi Cha kuwepo kwa matatizo haya ni kutokana na kuwepo kwa Katiba ya nchi ambayo ni mbaya sana, pamoja na Sheria zingine ambazo pia ni mbaya au Sheria kandamizi,Kumtoa Rais Samia madarakani na kuiacha CCM madarakani ni kazi bure.
Mambo mengi yanayoendelea ni matokeo ya mifumo iliyoweka na CCM na awamu zote haya mambo huwepo japo yanapishana kiwango
Na ili mtu abakie kwenye cheo lazima aingie kwenye mfumo .
Ni bora Upinzani kuangalia namna ya kuitoa CCM madarakani kuliko kumtoa Rais Samia .
Soma Pia: Mbowe: Mtu wa kwanza kuwajibishwa kwenye matukio ya utekaji ni Rais Samia. CHADEMA kuanza kampeni ya 'Samia Must Go'
Jamii ndiyo inaweza kuitoa CCM siyo chama cha siasa, ni kweli mimi naupinga kwa dhati udhalimu.Kumtoa Rais Samia madarakani na kuiacha CCM madarakani ni kazi bure.