CCM ni zaidi ya chama, Hayati Magufuli na sasa Rais Samia tunawaonea tu

Uko sahihi kabisa
 
Katiba mpya muhimu sana
 



Nadhani ni kwasababu wana hasira sana kwa maana kila binadamu ni kichaa na ukichaa humfika akikasirika sana
Kwa Jamii yetu inahitaji sana mtu ya kuwa hamasisha ambae ni wana harakati na vyama vya siasa
 
Basi wafute vyama vingi, lakini kama kuna vyama vingi wajue siku moja watatoka na hata kama sio leo wala kesho, kizazi kinazaliwa upya kinachotaka mabadiliko, hata kama wamefanya nini ila ninachojua mambo mengi yamefanyika kwa sababu ya upinzani, ukiwa madarakani na kuna vyama vingi lazima ujitahidi uonekane bora zaidi ili watu waendelee kukuamini so kama wangekuwa wenyewe wasinge fanya mambo makubwa hivyo tunataka siku moja na wengibe wafanye makubwa zaidi
 
Tatizo CCM ni dubwana kubwa sana
 
Uko sahihi lakini wanapambana na washika tonge ambao hawataki kuliachia tonge kwa amani, ambapo wameamua kuahirisha kufikiri kizalendo a.k.a kujizima data,
Wamekuwa wanatumia propaganda ambazo kumbe unahitaji akili za ziada kuzichambua, zingine unahitaji tu akili ya kuvukia barabara mfano anayesema alienda maporini anajibuwa alienda mwenyewe porini kuchimba dawa hakutumwa
 
Binafsi nadhani hizi ngumu tunazotumia Upinzani zingeelekezwa zaidi kwenye kupata katiba Mpya na Tume huru
 


Rais ni nguzo kuu ya uovu.

Matendo ya kishetani kumwakilisha shetani mwenyewe.

Magufuli aliinyoosha CCM kisawasawa kama sio genge la majizi ndani ya CCM kuanza kuua wetu na wengine kufadhili ugaidi hakika haya mavyama yangenyooka na kuzaliwa Tanzania ya Magufuli yenye uzalendo na maendeleo makubwa sana.

Kosa lingine ni kuacha kuwashughulikia majambazi ndani ya CCM yaliyompiga Tundu Risasi.

Kudanganya wetu kubwa CCM ndio Mungu mwenye nguvu zote ni kulea ushetani kwenye ardhi hii .

CCM wamesahau kuwa umma una nguvu kubwa ndio maana hata Marekani wakati ulipofika waliachana na ubaguzi dhidi ya watu weusi.
 
Nimekupenda bureee, ahsante kwa kunifurahisha leo
 
Uko sahihi
 
Sasa unashindwa kujua jambo hili dogo kuwa,

Ukitaka kumhamisha kichaa, unahamisha kwanza makopo yake?
 
Ukimtoa Samia, unapata Rais Mwenye nafuu kidogo labda hata Majaliwa. Pia inatuma message kwa viongozi wanaofuata hawawezi kuchezea maisha ya watu. Mwisho wa sikku unaweeza kupata katiba mpya..

aliekwambia kutakua na unafuu raisi akiwa Maajaliwa ni nani? hujaielewa CCM bado mkuu
 

N samia ndio mtu mwepesi zaidi ndani ya CCM kuleta katiba mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…