sergio 5
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 9,405
- 10,637
Hivi kuweka free and fair election ni kitu kimewashinda KABISA?
KWAMBA hii nchi Ina milikiwa na CCM?
Huwa napata mashaka sana ndani ya icho chama kama Kuna wasomi walio eleweka na walio na ubinadamu
Mkifanya uchaguzi fair sio tu mtashindwa msiogope kushindwa mtaleta maendeleo Wananchi watawawachagua mtaacha kufanya vitu kimazoea kama mnataka tubaki hapa tulipo endeleeeni na huu utaratibu
Ila ni kukosa utu tu hii nchi ata ikiongozwa na mtu wa CDM inacase ni mtanzania kutakuwa na shida gani ?
CCM punguzeni uchu na tamaa ya madaraka na kulazimishwa mpendwe sio tabia nzuri