Na huo ndio ujinga wenyewe!
Jamuhuri ilianza kabla ya CCM kuwepo Sasa ccm inakuaje kubwa kuliko jamhuri!!?
Nitachukua form niingie bungeni kupitia Chama changu ccm halafu nitapeleka hoja ya katiba mpya ikamilishwe coz kila kitu kipo tayari no mabadiliko kidogo tu yaani "zibaki mbili" Ili tuanze upya na uwajibikaji mpya was kikatiba na kitaifa!!
Ninachoomba na wao kunipitisha TU coz Sina mapesa ya kuhonga wajumbe kama mwenye jimbo aliepo sasa!!!
Nawapa wao fursa ya kunitumia ku push ajenda za jamhuri nikiwa ndani ya CCM!