CCM nini kinawashinda kutuwekea free and fair election?

Wewe fair election ni CHADEMA kushinda basi! Tengenezeni hoja na ushawishi kwa wananchi!
Hoja za kijinga jinga kama No reform no Election za akina Tundu Lissu zitawafikisha wapi!?
Hizo Reform atazifanyia nyumbani kwake?! Ana Wabunge wangapi Bungeni? Acheni upuuzi!
Unajiuliza, hivi mtu kama huyu aliyeandika hii comment anapata nini hasa? Mkuu, kuna kitu unapata tofauti na watanzania wengine, ili tumbo lishibe usagau nchi yako?

Umeandika mambo ya kijinga sana...
 
Ndio maana nikasema ccm hawana uwezo wa kusalia madarakani. Wananchi walishawakataa
Mimi nimekua nikiilaumu idara so called deep state mara nyingi sana!

Chama changu ccm kingekua chama Bora sana kama kingekua kinapokezana madaraka na chama pinzani mbadala kilichoundwa kimkakati ili kukisaidia chama kongwe!!

Namaanisha miaka Kumi ingetosha kuiunda ccm mpya adilifu ambayo inatamaniwa na wananchi Tena Kwa hoja na sera!!
Lakini idara imesubiri hadi ccm imechokwa Hadi inahitajika dark arts kukibakiza madarakani kama teka Teka,ua ya,poteza poteza ambayo inatokea sasa!!

Huwezi ukaunda mfumo wa taifa ambalo tupo tayari kupoteza na kuua nguvu KAZI ya taifa ili chama kishike madaraka!Leo poteza poteza,ua ua ipo Ili mwenyekiti na chama kivuke uchaguzi ujao!kumbe kingeandaliwa chama kingine Cha kuhodhi madaraka baada ya ccm kuharibu kusingekua na haya yote!!!

Kama America kule wafanyavyo!!
 
Hivi kuweka free and fair election ni kitu kimewashinda KABISA?

KWAMBA hii nchi Ina milikiwa na CCM?

Huwa napata mashaka sana ndani ya icho chama kama Kuna wasomi walio eleweka na walio na ubinadamu

Mkifanya uchaguzi fair sio tu mtashindwa msiogope kushindwa mtaleta maendeleo Wananchi watawawachagua mtaacha kufanya vitu kimazoea kama mnataka tubaki hapa tulipo endeleeeni na huu utaratibu

Ila ni kukosa utu tu hii nchi ata ikiongozwa na mtu wa CDM inacase ni mtanzania kutakuwa na shida gani ?

CCM punguzeni uchu na tamaa ya madaraka na kulazimishwa mpendwe sio tabia nzuri
Maneno kuntu! CCM na WA some ushauri huu na waufanyie kazi. Nchi inadumaa kutokana na ilivyo kama vile tupo kwenye mfumo wa chama kimoja.
 
Hakuna free and fair election Duniani pote!hata america hamna!
Tunachagua kuhalalisha waliopitishwa na wenye mamlaka!!

Ukiona chama kimepoteza dola ujue wenye mamlaka ndio wametaka hivyo na sio wananchi!!

Kungekua na free and fair election Lowasa angekua Rais!hata Mrema angekua pia!!

Wapo watu wanaofinyanga kesho yetu iweje!!!!
Kama ipo hivyo basi hao watu (wanaofinyanga kesho yetu) siyo wazalendo na hawana maono ya kimaendeleo kwa jamii yetu. Watawala ni kama tajiri mkubwa anayeogopa kufilisika na matajiri wengine kuibuka, lazima apigane kufa-kupona ili aendelee kubakia na utajiri wa kuwazidi wengine
 
Wewe fair election ni CHADEMA kushinda basi! Tengenezeni hoja na ushawishi kwa wananchi!
Hoja za kijinga jinga kama No reform no Election za akina Tundu Lissu zitawafikisha wapi!?
Hizo Reform atazifanyia nyumbani kwake?! Ana Wabunge wangapi Bungeni? Acheni upuuzi!
Hao wabunge wa Chadema unaodai Chadema hawana, wangeshinda uchaguzi gani 2020 ? Ndiyo maana wanadai fair election, kurekebisha makosa ya dola, amri za wasimamizi kutangaza washindi kwa nguvu nk. Anaeleweka tu huyo Lissu, labda hutaki kukubaliana na ukweli.
 
Kama ipo hivyo basi hao watu (wanaofinyanga kesho yetu) siyo wazalendo na hawana maono ya kimaendeleo kwa jamii yetu. Watawala ni kama tajiri mkubwa anayeogopa kufilisika na matajiri wengine kuibuka, lazima apigane kufa-kupona ili aendelee kubakia na utajiri wa kuwazidi wengine
Matajiri waliopo nchini wenye asili ya Asia ni matajiri bandia coz wanaendeleza mitaji ya wanasiasa wakubwa nchini!!kama wasomali kule kenya!!

Na Hilo nalo ni finyango la wenye mamlaka Toka enzinza Nyerere alipowapa kipaumbele watz wenye asili ya Asia!!

Mzee Mengi kwenye kitabu chake Cha I can,I will i must amefunua,pia kifo Cha mzee wa ruksa kilipotokea kulitokea taharuki kumbe ndio mmiliki wa Bakhressa group na Dr. Mwinyi alipewa maelekezo akatulize Hali ya mambo ndani ya familia!!
 
Mwaka huu ndo utakua na Uchaguzi wa Hovyo kuliko miaka yote toka tupate uhuru

Hii style ya Uchawa na Wizi wa kira wa waziwazi na wa kibabe uliletwa na Magufuli, katuachia Syteam ya hovyo sana
 
Matajiri waliopo nchini wenye asili ya Asia ni matajiri bandia coz wanaendeleza mitaji ya wanasiasa wakubwa nchini!!kama wasomali kule kenya!!

Na Hilo nalo ni finyango la wenye mamlaka Toka enzinza Nyerere alipowapa kipaumbele watz wenye asili ya Asia!!

Mzee Mengi kwenye kitabu chake Cha I can,I will i must amefunua,pia kifo Cha mzee wa ruksa kilipotokea kulitokea taharuki kumbe ndio mmiliki wa Bakhressa group na Dr. Mwinyi alipewa maelekezo akatulize Hali ya mambo ndani ya familia!!
Kahawa zimeanza sasa
 
Kahawa zimeanza sasa
Fanya uchunguzi!kwanini matajiri wazawa wanapotezwa wanapoanza kuchomoza!!?kupitia TRA!!?Refer Rama wa kariakoo alijipiga Risasi na Waziri mkuu aliagiza atendewe haki na haikutendwa na PM majaliwa akapuuzwa!!Hadi jamaa akajipiga Risasi!!?

Umewahi kujiuliza kwanini top ten ya matajiri Tz ni hao Raia pekee!!?Ina maana watz wote ni wavivu!!?

Mengi Reginald aliandika"wakati tunapata uhuru Mwl nyerere aliwapendelea watz wenye asili ya Asia keenye umiliki wa viwanda na uchumi kwa ujumpa na wazawa tukanyimwa fursa!!?
Siandiki bila kufuatilia kwa kina!!
Kipindi Cha nyuma ukienda google ukauliza"Who owns Tanzania!!?Jina lilikuja Mo Dewji!!?Sasa wamebadili zinakuja story kibao za uongo na kweli!
Maana yake Mo Dewji amekopa Kwa kutumia nchi kama dhamana ya mikopo ndio maana Kuna deni la TAIFA NA DENI LA NCHI!!

DENI LA TAIFA NI PALE WAFANYABIASHARA WANAOKOPA KWA DHAMANA YA TAIFA LA TANZANIA NA NCHI NI KINYUME CHAKE!REFER MAELEZO YA MWIGULU NCHEMBA!!

NA WEWE ANDIKA UJUAVYO!!
 
Wewe fair election ni CHADEMA kushinda basi! Tengenezeni hoja na ushawishi kwa wananchi!
Hoja za kijinga jinga kama No reform no Election za akina Tundu Lissu zitawafikisha wapi!?
Hizo Reform atazifanyia nyumbani kwake?! Ana Wabunge wangapi Bungeni? Acheni upuuzi!
Unasema hoja za kijinga?? Uchaguzi ukiwa huru na haki ni Chadema ndiyo watakaoshiriki huo uchaguzi peke yao?? "NO REFORM NO ELECTION" . Kama huamini jiulize ni nn kilichompata yule Mzee wenu wa miaka 80 akate moto mapema.
 
Maneno kuntu! CCM na WA some ushauri huu na waufanyie kazi. Nchi inadumaa kutokana na ilivyo kama vile tupo kwenye mfumo wa chama kimoja.
Sizani ata kama CDM inataka madaraka ni inataka fairness tu basi and nothing more
 
Fanya uchunguzi!kwanini matajiri wazawa wanapotezwa wanapoanza kuchomoza!!?kupitia TRA!!?Refer Rama wa kariakoo alijipiga Risasi na Waziri mkuu aliagiza atendewe haki na haikutendwa na PM majaliwa akapuuzwa!!Hadi jamaa akajipiga Risasi!!?

Umewahi kujiuliza kwanini top ten ya matajiri Tz ni hao Raia pekee!!?Ina maana watz wote ni wavivu!!?

Mengi Reginald aliandika"wakati tunapata uhuru Mwl nyerere aliwapendelea watz wenye asili ya Asia keenye umiliki wa viwanda na uchumi kwa ujumpa na wazawa tukanyimwa fursa!!?
Siandiki bila kufuatilia kwa kina!!
Kipindi Cha nyuma ukienda google ukauliza"Who owns Tanzania!!?Jina lilikuja Mo Dewji!!?Sasa wamebadili zinakuja story kibao za uongo na kweli!
Maana yake Mo Dewji amekopa Kwa kutumia nchi kama dhamana ya mikopo ndio maana Kuna deni la TAIFA NA DENI LA NCHI!!

DENI LA TAIFA NI PALE WAFANYABIASHARA WANAOKOPA KWA DHAMANA YA TAIFA LA TANZANIA NA NCHI NI KINYUME CHAKE!REFER MAELEZO YA MWIGULU NCHEMBA!!

NA WEWE ANDIKA UJUAVYO!!
Duh!
 
Mimi nimekua nikiilaumu idara so called deep state mara nyingi sana!

Chama changu ccm kingekua chama Bora sana kama kingekua kinapokezana madaraka na chama pinzani mbadala kilichoundwa kimkakati ili kukisaidia chama kongwe!!

Namaanisha miaka Kumi ingetosha kuiunda ccm mpya adilifu ambayo inatamaniwa na wananchi Tena Kwa hoja na sera!!
Lakini idara imesubiri hadi ccm imechokwa Hadi inahitajika dark arts kukibakiza madarakani kama teka Teka,ua ya,poteza poteza ambayo inatokea sasa!!

Huwezi ukaunda mfumo wa taifa ambalo tupo tayari kupoteza na kuua nguvu KAZI ya taifa ili chama kishike madaraka!Leo poteza poteza,ua ua ipo Ili mwenyekiti na chama kivuke uchaguzi ujao!kumbe kingeandaliwa chama kingine Cha kuhodhi madaraka baada ya ccm kuharibu kusingekua na haya yote!!!

Kama America kule wafanyavyo!!
Kitengo kazi yake ni kushauri tu basi hawana Cha kufanya na kule CCM ni wengi mno
 
Ccm wanajimilikisha nchi kwa nguvu ya Dola tu,hii nchi ni yetu sote uwe chadema,ACT,UDP,ADC,na kadhalika au usiwe na chama pia,Sasa kwa Nini ccm wajifichia ktk katiba yetu yenye upungufu mkubwa sana ambao wao ccm wanakataa katiba mpya ,tume huru ya uchaguzi hawataki je ccm haitaki mabadiliko ya katiba,tume ya uchaguzi no kwa maslahi ya nani ????? Tujiulize ccm hawana hoja hata Moja ya kukataa tume huru ya uchaguzi ,waseme kwa Nini hawataki???? No reform No election
 
Hivi kuweka free and fair election ni kitu kimewashinda KABISA?

KWAMBA hii nchi Ina milikiwa na CCM?

Huwa napata mashaka sana ndani ya icho chama kama Kuna wasomi walio eleweka na walio na ubinadamu

Mkifanya uchaguzi fair sio tu mtashindwa msiogope kushindwa mtaleta maendeleo Wananchi watawawachagua mtaacha kufanya vitu kimazoea kama mnataka tubaki hapa tulipo endeleeeni na huu utaratibu

Ila ni kukosa utu tu hii nchi ata ikiongozwa na mtu wa CDM inacase ni mtanzania kutakuwa na shida gani ?

CCM punguzeni uchu na tamaa ya madaraka na kulazimishwa mpendwe sio tabia nzuri
Unataka kuwaua kwa presha?
 
Wewe fair election ni CHADEMA kushinda basi! Tengenezeni hoja na ushawishi kwa wananchi!
Hoja za kijinga jinga kama No reform no Election za akina Tundu Lissu zitawafikisha wapi!?
Hizo Reform atazifanyia nyumbani kwake?! Ana Wabunge wangapi Bungeni? Acheni upuuzi!
Mbona wananchi wanawaelewa sana tu. Tatizo ni kule kutangazwa wakishinda
 
Back
Top Bottom