MKuu ccm wala hawana kosa.Hivi kuweka free and fair election ni kitu kimewashinda KABISA?
KWAMBA hii nchi Ina milikiwa na CCM?
Huwa napata mashaka sana ndani ya icho chama kama Kuna wasomi walio eleweka na walio na ubinadamu
Mkifanya uchaguzi fair sio tu mtashindwa msiogope kushindwa mtaleta maendeleo Wananchi watawawachagua mtaacha kufanya vitu kimazoea kama mnataka tubaki hapa tulipo endeleeeni na huu utaratibu
Ila ni kukosa utu tu hii nchi ata ikiongozwa na mtu wa CDM inacase ni mtanzania kutakuwa na shida gani ?
CCM punguzeni uchu na tamaa ya madaraka na kulazimishwa mpendwe sio tabia nzuri
Hili la akina Lissu la mabadiliko linaweza kutusumbua CCM.Hivi kuweka free and fair election ni kitu kimewashinda KABISA?
KWAMBA hii nchi Ina milikiwa na CCM?
Huwa napata mashaka sana ndani ya icho chama kama Kuna wasomi walio eleweka na walio na ubinadamu
Mkifanya uchaguzi fair sio tu mtashindwa msiogope kushindwa mtaleta maendeleo Wananchi watawawachagua mtaacha kufanya vitu kimazoea kama mnataka tubaki hapa tulipo endeleeeni na huu utaratibu
Ila ni kukosa utu tu hii nchi ata ikiongozwa na mtu wa CDM inacase ni mtanzania kutakuwa na shida gani ?
CCM punguzeni uchu na tamaa ya madaraka na kulazimishwa mpendwe sio tabia nzuri
Sio CDM kushinda kuwe na fairness wakatwe pia wagombea wa CCM kusiwepo na matumizi ya nguvu kwa wapinzani nchi ni yetu soteWewe fair election ni CHADEMA kushinda basi! Tengenezeni hoja na ushawishi kwa wananchi!
Hoja za kijinga jinga kama No reform no Election za akina Tundu Lissu zitawafikisha wapi!?
Hizo Reform atazifanyia nyumbani kwake?! Ana Wabunge wangapi Bungeni? Acheni upuuzi!
Labda wanaona werevu wanazidi kuongezeka😂Sjui wanaogopa Nini nchi sio Mali yao hii
ccm wameiteka sanduku la kura,itahitajika nguvu isiyoyakawaida kuirudisha kwa wananchiHivi kuweka free and fair election ni kitu kimewashinda KABISA?
KWAMBA hii nchi Ina milikiwa na CCM?
Huwa napata mashaka sana ndani ya icho chama kama Kuna wasomi walio eleweka na walio na ubinadamu
Mkifanya uchaguzi fair sio tu mtashindwa msiogope kushindwa mtaleta maendeleo Wananchi watawawachagua mtaacha kufanya vitu kimazoea kama mnataka tubaki hapa tulipo endeleeeni na huu utaratibu
Ila ni kukosa utu tu hii nchi ata ikiongozwa na mtu wa CDM inacase ni mtanzania kutakuwa na shida gani ?
CCM punguzeni uchu na tamaa ya madaraka na kulazimishwa mpendwe sio tabia nzuri
Upo sawa mkuuHakuna free and fair election Duniani pote!hata america hamna!
Tunachagua kuhalalisha waliopitishwa na wenye mamlaka!!
Ukiona chama kimepoteza dola ujue wenye mamlaka ndio wametaka hivyo na sio wananchi!!
Kungekua na free and fair election Lowasa angekua Rais!hata Mrema angekua pia!!
Wapo watu wanaofinyanga kesho yetu iweje!!!!
Ndio maana nikasema ccm hawana uwezo wa kusalia madarakani. Wananchi walishawakataaHakuna free and fair election Duniani pote!hata america hamna!
Tunachagua kuhalalisha waliopitishwa na wenye mamlaka!!
Ukiona chama kimepoteza dola ujue wenye mamlaka ndio wametaka hivyo na sio wananchi!!
Kungekua na free and fair election Lowasa angekua Rais!hata Mrema angekua pia!!
Wapo watu wanaofinyanga kesho yetu iweje!!!!
Kuna mbunge wa CCM, simkumbuki ni nani ila najua bado yuko Bungeni, ni mwanamke, aliwahi kusema kuwa, JINSI UBUNGE ULIVYOMTAMU YUKO TAYARI KUUWA ILIMRADI ABAKIE NA UBUNGE WAKE" Maneno haya aliyasemea BUNGENI na sio mtaani.CCM punguzeni uchu na tamaa ya madaraka na kulazimishwa mpendwe sio tabia nzuri
😀😀😀Ukiona Huwaelewi CCM ujue Una IQ kubwa.
Hongera Mkuu tuko pamoja