CCM Njombe Wagomea uamuzi wenye mimba kurudi shule

Jaribu kufuatilia elimu ya hao wapingaji sasa , utazimia !
 
Nimeisikia

Njombe, Tanzania

Maazimio ya kadhaa ya Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Njombe, Tanzania



Halmashauri Kuu CCM ya Wilaya Njombe kupitia wajumbe wake, Yapendekeza kwa Halmashauri Kuu ya CCM ya mkoa wa Njombe kuridhia na kuyapeleka katika Halmashauri Kuu ya Taifa mjini Dodoma.
 
Tangia tamko litolewe waliounga mkono ni wanaharakati, sijasikia kauli ya wanaccm kuunga mkono . Kuongoza chama ni kazi kuliko kuongoza ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…