Huenda mmeshajua kuwa sehemu kubwa ya Wananchi wana upeo mdogo wa ufahamu kuweza kufikiri na kutambua kuwa mnawapotosha kwa manufaa yenu kulingana na ukosefu wa elimu au kuw na elimu duni inayowanyima ufahamu, nawataka oneni hata aibu msifikie kiwango mlichofikia cha kuwafanya kama hawana hata kiwango kidogo cha akili.
Ukisikiliza Video hiyo hapo chini anachokifanya huyo muongeaji hapo ni upotoshaji wa wazi kwa Wananchi, huku akihitaji Wananchi wamuunge mkono, huenda anafanya hivyo kwa kuwa kawadharau, kawaona kama hawajitambui, anawalisha taarifa potofu na kuwaamisha kufuga kuku na kwenda kuwatembelea watu ni kipimo cha amani na utulivu wa nchi na maandamano ni kitu kibaya na chenye matokeo mabaya huku akito mifano ya kutunga ya uongo, inasikitisha sana na kutia hasira kumsikiliza.
CCM, Hebu mnapotutubia Wananchi waambieni yaliyo ya kweli ili wafanye maamuzi sahihi, waelezeni ukweli acheni kuwadanganya ili mchaguliwe, achane kutumia ufahamu mdogo wa wananchi kujipatia kura siyo kitu kizuri.
Halafu neno amani mnalitumia vibaya sana kama mwamvuli wa kuficha maovu yenu, mnalitumia kuwatisha wananchi ili washindwe kufanya maamuzi sahihi dhidi yenu, acheni ivyo.