CCM Oneni Aibu Hata Kidogo! Fix Hadi Lucifer Mwenyewe Anashangaa!

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
40,455
Reaction score
73,145
Wala nisiseme mengi bali msikilizeni Mbunge wa Kawe na mjumbe wa NEC ya CCM anavyo wapiga fix wakazi wa Kawe na Watanzania akiwa mbele ya viongozi wenzake wa CCM.
Uongo hadi Shetani anashika mdomo kwa mshangao!
 
Attachments

  • VID-20241229-WA0011.mp4
    8.9 MB
Wala nisiseme mengi bali msikilizeni Mbunge wa Kawe na mjumbe wa NEC ya CCM anavyo wapiga fix wakazi wa Kawe na Watanzania akiwa mbele ya viongozi wenzake wa CCM.
Uongo hadi Shetani anashika mdomo kwa mshangao!
Waliouthuria wangetakiwa wagune
 
Wala nisiseme mengi bali msikilizeni Mbunge wa Kawe na mjumbe wa NEC ya CCM anavyo wapiga fix wakazi wa Kawe na Watanzania akiwa mbele ya viongozi wenzake wa CCM.
Uongo hadi Shetani anashika mdomo kwa mshangao!
Meli 50 za uvuvi
Kawe mpya inakuja na kung'aa kwelikweli
😆🙏
 
Na bado wakaenda kuiba kura na kusababisha na Halima Mdee nae kuunga mkono juhudi baada ya kuibiwa kura zake halali.
 
Wala nisiseme mengi bali msikilizeni Mbunge wa Kawe na mjumbe wa NEC ya CCM anavyo wapiga fix wakazi wa Kawe na Watanzania akiwa mbele ya viongozi wenzake wa CCM.
Uongo hadi Shetani anashika mdomo kwa mshangao!
mbaaf !
 
Back
Top Bottom