CCM Oneni Aibu Hata Kidogo! Fix Hadi Lucifer Mwenyewe Anashangaa!

CCM Oneni Aibu Hata Kidogo! Fix Hadi Lucifer Mwenyewe Anashangaa!

Ni uongo mkubwa na wa wazi sana...nimeshindwa kumaliza kuitazama video hii. Nimejisikia vibaya sana kama mtanzania mpigakura!
 
Wala nisiseme mengi bali msikilizeni Mbunge wa Kawe na mjumbe wa NEC ya CCM anavyo wapiga fix wakazi wa Kawe na Watanzania akiwa mbele ya viongozi wenzake wa CCM.
Uongo hadi Shetani anashika mdomo kwa mshangao!
Kaupata ubunge, je yametokea?
 
Na ni Dr. Na ana waumini wanakuja kwenye congregation Kila jumapili
Mtanzania afadhali ya ng'ombe. Sometimes huwezi kumswaga bila hiari. Mtanzania ukimwambia ukinichagua ninaweza kukuletea mvua mwaka mzima akushangilia na kukupigia makofi. Sababu uwezo wake wa kufikiri umekufa ili mradi uvae nguo zinazofanana na Yanga.
 
Meli 50 zote Kawe??!!!

Halafu huyu ni Askofu.
Ati ni askofu na watu wanampelekea sadaka na kumsujudu
Kama anadanganya kwa vinavyoonekana vipi huko kwenye imani
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Halafu anakundi la watu j2 wanamsikiliza na kumsifu. Angalikuwa upande wa pili wa imani nadhani angalikua peke yake ktk nyumba ya ibada
..upande wa pili wa imani nao kuna baadhi wameanza kuchangamkia biashara ya kuuza mafuta.
 
..upande wa pili wa imani nao kuna baadhi wameanza kuchangamkia biashara ya kuuza mafuta.
Lazima watakuwepo watu kama hao, penye msafara wa mamba Kenge hakosi. Lkn wanapingwa hadharani
 
Lazima watakuwepo watu kama hao, penye msafara wa mamba Kenge hakosi. Lkn wanapingwa hadharani

..hilo ni jambo jipya limeanza kujitokeza karibuni.

..inaelekea kuna baadhi wamevutiwa na utajiri waliojilimbikizia wenzao.
 
Back
Top Bottom