Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Viwanjanni vya SERIKALI na si CCM, wao wamevipora tu na kuandika hati.CCM ni chama kikubwa na kikongwe kinachoongozwa na watu wenye weledi mkubwa.
Hivyo CCM hakiwezi kufa au kushindwa kujiendesha kama kitarudisha serikalini viwanja vya mpira inavyovimiliki ili vijana wavitumie.
Viwanja vinapoteza hadhi na mpira hauchezeki kwenye viwanja hivyo wakati CCM inayo Sera ya kukuza michezo.
Hata Kipindi Nyerere Anadai Uhuru Kuna Watu Kama Wewe Walikua Wanamkatisha Tamaa Mwalimu Kwa Maneno Kama Yako. Lakini Baada ya Uhuru Kupatikana Hao Hao Walio Kuwa Wanambeza Wakawa Watu Wa Kwanza Kuingia Barabarani Kushangilia.Endelea kuota mkuu
Neno zito sana mkuu, ukombozi wa Tanganyika unakujaHata Kipindi Nyerere Anadai Uhuru Kuna Watu Kama Wewe Walikua Wanamkatisha Tamaa Mwalimu Kwa Maneno Kama Yako. Lakini Baada ya Uhuru Kupatikana Hao Hao Walio Kuwa Wanambeza Wakawa Watu Wa Kwanza Kuingia Barabarani Kushangilia.
"Watu Kama Nyinyi Hamkosekani Kwenye Jambo Lolote".
Narudia tena endelea kuota mkuuHata Kipindi Nyerere Anadai Uhuru Kuna Watu Kama Wewe Walikua Wanamkatisha Tamaa Mwalimu Kwa Maneno Kama Yako. Lakini Baada ya Uhuru Kupatikana Hao Hao Walio Kuwa Wanambeza Wakawa Watu Wa Kwanza Kuingia Barabarani Kushangilia.
"Watu Kama Nyinyi Hamkosekani Kwenye Jambo Lolote".
Viwanja vilijengwa kabla ya mfumo wa vyama vingi,vilitakiwa wapewe halmashauri katika eneo husika, nashangaa wamejimilikisha wao na pia wanasheria wamelala kuhusu hii issue!!!Kwani Hivi Viwanya Vyote Vimejengwa Na Ccm?.
Una umri gani kijana? Hivyo viwanja ni mali ya watanzania wote. Ccm wamevitaifisha tu kwa kutumia mabavu.
Hivi viwanja vingi vipo half way kumalizika, ukiondoa pitch kuwa mbaya ata majukwaa unakuta hayajaisha vizuri. Havina taa, ukiona wachezaji wanaingia dressing room kama wana ingia kwenye shimo la nyoka! Giza limetawala, no running water, vyoo vichafu, pembeni ya pitch ni vichaka. Ata ikipita miaka 10 bado hali itakua hivi hivi au mbaya zaidi kwasababu aliyepewa kumiliki hajui thamani yake, mwenye mali yake kanyang'anywa! Ubaya/uzuri ligi ina kuwa broadcasted live mpaka n'jee wanaona uchafu wetu. Itahitaji siku mwenyeketi wa chama awe anaona aibu kama sisi wapenda mpira tunayoiona kuja na solution ya hii kitu. Matumaini yangu yapo kwa Kassim Majaliwa kwenye hili. Magu kwa jinsi anavyo komaliaga vitu hili lilikuwa swala dogo ila naona ameangalia kwingine.
Rais wetu ni msomi na katibu wake mkuu ni waelewa kwelikweli, hata wao kama viongozi wasoni kuwahi kutokea CCM sidhani kama wataruhusu CCM itafute pesa za kukarabati viwanja vya mpira.Endelea kuota mkuu
Hoja gani wakati ushahidi hakuna hapaMajibu Kwa hoja please
Kwanini wizara isitengeneze viwanja vyake badala ya kukaa nakusubiri huruma ya ccm au kwanini team zisiwe na.uwanja kama azam badala ya kukomalia viwanja vya ccm ?Well said, ndo maana ligi yetu haitoi mshi
Rais wetu ni msomi na katibu wake mkuu ni waelewa kwelikweli, hata wao kama viongozi wasoni kuwahi kutokea CCM sidhani kama wataruhusu CCM itafute pesa za kukarabati viwanja vya mpira.
Sidhani kama itawawia vigumu kuikabidhi wazara ya habari na michezo viwanja hivyo.
Unalazimisha au.umeamua kujiaminisha ujinga , hilo ni tatizo lako watu wanazungumzia viwanja wewe unaleta magereza , CCM ina mali zake na.serikali ina mali zake , tena zinafahamikaUnachosema wewe ni Sawa na kusema magereza yote, barabara zote, shule zote na kila kitu kilichofanywa kabla ya vyama vingi nchini ni mali ya CCM. Huna hoja.
CCM ilikuwa na timu zipi za mpira wa miguu hadi ijenge viwanja, ni timu zipi zilikuwa zinalipa hela ngapi kwenda kwenye mfuko wa CCM wakati wa siasa za chama kimoja? Sio kwamba unajisemea Tu wewe?Unalazimisha au.umeamua kujiaminisha ujinga , hilo ni tatizo lako watu wanazungumzia viwanja wewe unaleta magereza , CCM ina mali zake na.serikali ina mali zake , tena zinafahamika
Ahahahahahaha kumbe ujui kitu kijana , ebu kajifunze tena ndio urudi hapaCCM ilikuwa na timu zipi za mpira wa miguu hadi ijenge viwanja, ni timu zipi zilikuwa zinalipa hela ngapi kwenda kwenye mfuko wa CCM wakati wa siasa za chama kimoja? Sio kwamba unajisemea Tu wewe?
Ni kusubiri wakati tuu ufike nao tuwanyanganye kama wao walivyopora viwanja hivyo vya wananchi. Wanang'ang'ania wakati kuvitunza hawawezi na hela wanachukua.CCM ni chama kikubwa na kikongwe kinachoongozwa na watu wenye weledi mkubwa.
Hivyo CCM hakiwezi kufa au kushindwa kujiendesha kama kitarudisha serikalini viwanja vya mpira inavyovimiliki ili vijana wavitumie.
Viwanja vinapoteza hadhi na mpira hauchezeki kwenye viwanja hivyo wakati CCM inayo Sera ya kukuza michezo.
Kuna mkoa hauna uwanja wa ccm? jengeni nyie msiokuwa na viwanjaMbona hatuoni ikijenga vingine baada ya vyama vingi ?